Ni kwanini ndugu zetu wahangaza na washubi sio watu wa kujichanganya na sisi?

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
Nikizungumzia wahangaza na washubi hawa ndugu zetu wanaotokea mkoani Kagera wilaya ya ngara na bihalamulo .

Ukweli ni kwamba hawa ndugu zetu ukitaka kuwafahamu zaidi uje huku ngara au nenda bihalamulo kiukweli ni watu wa Karimu sana ila shida wakishatoka ngara kwenda mingine kutafuta maisha

Huwa sio watu wa kujichanganya watu kabisa na watu wa kawaida wala huwezi kukuta wakilizungumzia kabila Lao wala kujitapata kuhusu kabila Lao ni watu wanaishi maisha flani ya kujitenga tenga na watu

Je, tatizo ni nini lakini?
 
Ni watu wazuli ukienda nao sawa ila ukiwa tofauti nao wabaya sana sio waoga kukuzulu yani wengi wao shule sio sana alafu wako pembeni ya nchi kwa iyo ni waoga kuambiwa sio wabongo
 
Hao ni wahamiaji haramu kama meko,kwahiyo wanajua uhamiaji inawatafuta hawataki mazoea na wenyeji
 
Mtoa Mada nikurebishe Washubi hawapatikani Biharamulo washubi wanapatikana Rulenge wanaopatikana Bihalamulo ni Wasubi hata rugha hawaingiliani na watu wa Ngara Kuhusu kujitenga si Watu wapole na wakimya Sana na pia tuna Dharau sana haijalishi tunacho au hatuna ko hua hatupendi sana kujichanganya na watu
 
Nikizungumzia wahangaza na washubi hawa ndugu zetu wanaotokea mkoani Kagera wilaya ya ngara na bihalamulo .

Ukweli ni kwamba hawa ndugu zetu ukitaka kuwafahamu zaidi uje huku ngara au nenda bihalamulo kiukweli ni watu wa Karimu sana ila shida wakishatoka ngara kwenda mingine kutafuta maisha

Huwa sio watu wa kujichanganya watu kabisa na watu wa kawaida wala huwezi kukuta wakilizungumzia kabila Lao wala kujitapata kuhusu kabila Lao ni watu wanaishi maisha flani ya kujitenga tenga na watu

Je, tatizo ni nini lakini?
N i very funny mwanadamu kutamani wanadamu wengine wamfate fate,kujizogeza sogeza ili kulisha his/her attention seeking hunger!

Attention seeking hunger yako ni yako,feed it up yourself,sio unataka hawa watu wakufatefate,wajichanganye na wewe..

Let people live the way they want,alimradi hawajakuingilia your rights,baasiiii!

Mengine ni matatizo yako binafsi unataka wapakazia wenzako wakusaidie kutatua!
 
Mtoa Mada nikurebishe Washubi hawapatikani Biharamulo washubi wanapatikana Rulenge wanaopatikana Bihalamulo ni Wasubi hata rugha hawaingiliani na watu wa Ngara Kuhusu kujitenga si Watu wapole na wakimya Sana na pia tuna Dharau sana haijalishi tunacho au hatuna ko hua hatupendi sana kujichanganya na watu

mkuu vip upo luziba,lukalagata,kabindi,au ntungamo
 
Mkuu zungumzia pia kuhus uchawa w kurogwa unaitw kipiano ukoje maan mim ndo nmefik huk ,mgen
mkuu vip upo luziba,lukalagata,kabindi,au ntungamo
[/QUOTE
 
Tena ni warembo wana shepu kama wanyarwanda alafu wanajua kupenda ila ukizungua kibongobongo ndo shuguli inaanza apo
no kitatokea ukiwazingua mademu w huku ngara sababu m nmefika nmeshapata km mademu watatu wote wanaonesh kjnipenda n sita kaa sana huk Ila nmewasanganya km ntawaoa?
 
Back
Top Bottom