Jaribu kuwa kauzu na ww acpokutafuta Tuma sms moja2 kwa cku acpo jibu nawe potezea ukimsumbua sana atakutesaZa leo marafiki na wapenzi wa jf
Za siku nyingi
Natatizo moja ni kwanini mimi nakuwa siwezi kudumu katika urafiki yaani nakuwa na mtu halafu mwisho wake sielewi mtu tu anakaa kimya tu mara yupo busy yaani mtu huelewi why hata kama wewe hajakutumia sijui why .
Naombeni ushauri ila sio pm hata hapa itasaidia pia.
Waende tu hizi sio nyakati za kubembelezana..kila mtu anapambana na maishaWhen people walk away from you let them WALK kuna vitu sio vya kulazimisha.
Imenikuta pia kuna mtu kaondoka bila kusema kitu nikamuacha aende zake tena kwa amani
Hakika mkigoma mwenzangu[emoji4]kuumiza akili nayo[emoji849]Waende tu hizi sio nyakati za kubembelezana..kila mtu anapambana na maisha
[emoji3][emoji3]Hakika mkigoma mwenzangu[emoji4]kuumiza akili nayo[emoji849]
Birds with the same... fly.......!When people walk away from you let them WALK kuna vitu sio vya kulazimisha.
Imenikuta pia kuna mtu kaondoka bila kusema kitu nikamuacha aende zake tena kwa amani
Karibu nikupe hifadhi mpendwa [emoji7]When people walk away from you let them WALK kuna vitu sio vya kulazimisha.
Imenikuta pia kuna mtu kaondoka bila kusema kitu nikamuacha aende zake tena kwa amani
Together [emoji23]Birds with the same... fly.......!
Shukrani my dear nishahifadhiwa tayariKaribu nikupe hifadhi mpendwa [emoji7]
Najitolea kuwa ur bodyguardShukrani my dear nishahifadhiwa tayari
Huo ubabe wako wa kasikazini, utakufanya uolewe mbali..!Waende tu hizi sio nyakati za kubembelezana..kila mtu anapambana na maisha
[emoji3][emoji3]fresh tuHuo ubabe wako wa kasikazini, utakufanya uolewe mbali..!
Utajikuta unaolewa kongo ambako awajui jf..
Hahaha sina hela lakiniNajitolea kuwa ur bodyguard
Arusha na Moshi kuna midemu ina kiburi jamani..![emoji3][emoji3]fresh tu