Unampenda mtu ambaye hakupendi ?? Jiongeze ww acha uzwazwa au mpaka akwambie sikutakii??Naomba ushauri kwa maana huyu bado na mpenda tu.
Baharini?Nimeoga leo nilipoamka jamani
ushauri wangu muache halafu jifunze kunipenda mimiNaomba ushauri kwa maana huyu bado na mpenda tu.
We ni jinsia ganNaomba ushauri kwa maana huyu bado na mpenda tu.
Chakufanya basi nifanyaje?Kabla hujaanza kuwashangaa hao wanaokupotezea jifanyie tathmini ..huenda wewe ndio chanzo cha kupotezewa..mfano tabia zako labda za kitoto toto au mpiga mizinga toleo jipya,au hueleweki unataka nini kwenye maisha n.k...
Poa asante kwa ushauriNi moja ya mateso ya ibirisi kwa watoto wa kike.
Kwa nje wanakuona huna kasoro ila mahusiano hayadumu mengine huyeyukia hewani tu bila kujua chanzo. Na unaridhika tu kwa kujipa moyo kuwa ipo siku utampata mwingine.
Badili gia angani, mgeukie Mungu tu.
Chakufanya basi nifanyaje?
Basi poleWala sipendi