Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,183
- 3,547
Asili ya kweli ya Lipumba ni congo ingawa yy alikuja Tz akiwa kichanga na ndugu zake wengi walihamia Rwanda kilipo kile kikundi chake cha kigaidi wazee wa Nissan nyeupe, huko Tabora hakubaliki Kwa sababu wanajua Lipumba ni mkongo man pia wanajua ni chuna buzi wa CCM si mpinzani halisi ni msomi feki na Dalali wa siasa, wasukuma na wanyamwezi wapo makini kwenye kuwashitukia mamluki.Lipumba ni mmoja kati ya wanasiasa wakongwe hapa nchini.
Lipumba ni mnyamwezi anaetokea maeneo ya UTUSINI ILOLANGURU TABORA mwenye asili kutoka jamii ya wasubwa.
Asilimia kubwa ya wasubwa wako TABORA,Shinyanga na Geita hawa ni wanyamwezi.
Lakini tangu nimefika TABORA nimeenda Kahama hadi Geita na Ilolanguru kote huko Lipumba ameshidwa kukubalika kabisa kisiasa.
Tangu aanze kugombea Urais mwaka 1995 hadi Leo hii Lipumba ameshidwa kukubalika unyamwezi hadi usukamani yaani hata ule ushawishi wa kupata angalau diwani au mbunge bado kabisa
Hadi leo hii ukienda TABORA ukiwauliza wana TABORA ni kwanini ndugu yenu hakubaliki kisiasa huwezi kupata jibu.
Sasa sijajua kuna tatizo gani!
Lipumba pekee na Abdalah kambaya Dalali wa waganga wa kienyeji ndiyo watu Hatari ndiyo hawaaminikiTatizo Cuf waswahili sana hawaaminiki...
Ni kweli Lipumba sasa kuchwani zipo pumba tupu kasahau alichosoma kabakia na Elimu ya darasa la 3 kichwani anaitumia kula pesa za CCM kisanii.Labda wamegundua ni Profesa feki
Lipumba ki Ukweli sio Mtanzania hilo halina Ubishi ukienda Tabora yote wanajua ndiyo maana Lipumba kujipendekeza kwa magufuli Mtukufu malaika wa chato ili asije kufukuzwa Nchini na kurejeshwa congo.Yule siyo mnyamwezi ni mkongoman ndiyo maana wanamkataa
Sasa Lipumba anakubalika na watanzania wapi? Labda hao waganga wa kienyeji anaoletewa na Abdalah kambayamwanasiasa anatakiwa kukubalika na watanzania sio kwao.
hata yesu hakukubalika nazareth alipokulia akaamua kwenda kuweka kambi carpenaumu
Kwani mtanzania namba moja yeye mwenyewe anajua anakubalika sana kwao ndo maana katoa katazoLogic ya Mwanasiasa kuanza kukubalika kwao ina viashiria vya Ukabila!
Asili ya kweli ya Lipumba ni congo ingawa yy alikuja Tz akiwa kichanga na ndugu zake wengi walihamia Rwanda kilipo kile kikundi chake cha kigaidi wazee wa Nissan nyeupe, huko Tabora hakubaliki Kwa sababu wanajua Lipumba ni mkongo man pia wanajua ni chuna buzi wa CCM si mpinzani halisi ni msomi feki na Dalali wa siasa, wasukuma na wanyamwezi wapo makini kwenye kuwashitukia mamluki.
Anajipendekeza kwa Mtukufu pia Kumbuka Lipumba ni mladi mkubwa wa Madalali wa siasa huko CCM, pesa inayotoka Hazina kwenda kwa Lipumba wanakula 10% humo lazima wamualike ikulu mara zote.Lakini anakubalika sana ikulu huyu mtu,kila ripoti yupo
japo sasa hivi simkubali sana, ila kuna kipindi huko miaka ya 2000 nilimkubali na kujivunia yeye kuwa mtanzania, lkn ktk vipindi vyote vya maisha yake hajawahi kukubalika huko kwao angalau kumpa hata kura nyingi kama heshimaSasa Lipumba anakubalika na watanzania wapi? Labda hao waganga wa kienyeji anaoletewa na Abdalah kambaya
O.PLogic ya Mwanasiasa kuanza kukubalika kwao ina viashiria vya Ukabila!