Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,179
- 3,539
Lipumba ni mmoja kati ya wanasiasa wakongwe hapa nchini.
Lipumba ni mnyamwezi anaetokea maeneo ya UTUSINI ILOLANGURU TABORA mwenye asili kutoka jamii ya wasubwa.
Asilimia kubwa ya wasubwa wako TABORA,Shinyanga na Geita hawa ni wanyamwezi.
Lakini tangu nimefika TABORA nimeenda Kahama hadi Geita na Ilolanguru kote huko Lipumba ameshidwa kukubalika kabisa kisiasa.
Tangu aanze kugombea Urais mwaka 1995 hadi Leo hii Lipumba ameshidwa kukubalika unyamwezi hadi usukamani yaani hata ule ushawishi wa kupata angalau diwani au mbunge bado kabisa
Hadi leo hii ukienda TABORA ukiwauliza wana TABORA ni kwanini ndugu yenu hakubaliki kisiasa huwezi kupata jibu.
Sasa sijajua kuna tatizo gani!