Ni kwanini katika Maombi uwa hatutaji majina yetu

Shadrack K. Lwila

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2016
Posts
4,925
Reaction score
14,297
Salaam kwenu Wanajukwaa,

Imezoeleka ama sijui ni utamaduni ama sifahamu kama ndivyo tulivyokariri, Wakristo wengi Tunapokua Tunaomba Uwa Tunaomba hivi, Huu ni Mfano wa Maombi yangu "Mungu Wa israel, Mungu wa yakobo, Mungu Wa ibrahimu, Mungu wa eliya Nakuomba unisaidie katika jambo hili, unisaidie kama ulivyowasaidia kina sharack, meshack na abedinego na kuwaokoa kwenye tanuru la moto"

Huo ni mfano tu wa jinsi ambavyo nimekariri namna ya kuomba, yakwamba kama nataka ku-emphasize kuwa Mungu anisaidie lazima nipite humo kwenye hayo majina Tajwa hapo juu.

Swali langu ni....?
Ni kwanini hatuwezi kusema Mungu wa Mshana Jr au Mungu wa Kapeace au Mungu wa dronedrake au Mungu wa Nakadori ???[emoji2955][emoji2955] kwasababu kama ni sababu ni kuwa Hao kina Yakobo, ibrahimu, isaka, eliya nk. Kuwa-emphasized ni kwasababu Mungu aliwaonekania. Mbona ata mimi Mungu ananionekania pia katika maisha yangu?? Au hili swala limekaaje labda??[emoji2955][emoji2955]

Anyway humu tuko wengi na wenye akili kubwa, wenye uwezo mkubwa wa kufikiri kuliko platform Yoyote ile apa Tanzania na nchi nyingine nyingi sana, natumai Nitapata majibu.

Naomba kuwasilisha
 
Huyu Mungu aliwatendea makuu hawa wazee na akaweka agano nao. Lakini pia hawa wazee akina Ibrahim walikuwa watii sana hadi kufikia kuitwa baba wa imani.
Me binafsi ninapoomba huwa namtambulisha Mungu kama Mungu wa mama yangu kwakuwa kwanza alinitambulisha kwake lakini pia aliweza kuonekana kwenye maisha ya mama yangu na kumfanyia miujiza mingi pale alipomuita kwa kumaanisha
 
Me binafsi ninapoomba huwa namtambulisha Mungu kama Mungu wa mama yangu kwakuwa kwanza alinitambulisha kwakwe lakini pia aliweza kuonekana kwenye maisha ya mama yangu na kumfanyia miujiza mingi pale alipomuita kwa kumaanisha
Sogea sogea weeee , cheza namiiiii.
 
Huyu Mungu aliwatendea makuu hawa wazee na akaweka agano nao. Lakini pia hawa wazee akina Ibrahim walikuwa watii sana hadi kufikia kuitwa baba wa imani.
Me binafsi ninapoomba huwa namtambulisha Mungu kama Mungu wa mama yangu kwakuwa kwanza alinitambulisha kwake lakini pia aliweza kuonekana kwenye maisha ya mama yangu na kumfanyia miujiza mingi pale alipomuita kwa kumaanisha
Safiii wewe uwa waomba kitofauti sana
 
Hao kina Ibra, yakobo nk huwa siwataji kwenye maombi yangu maana imani, nyakati na mapito yao na yangu hayafanani,, kuna mengi Mungu kanitendea kuna maombi niliwahi kuyaomba na yakajibiwa siku hiyohiyo, nk kwahiyo hata leo nikiomba huwa namkumbusha hayo matukio yaliyotokea kwangu mwenyewe
 
Hongera na safii sana kwa mtindo wako wako mzuri wa kuomba, huwa nawaza labda ukiwataja hao wazee wetu maombi yako yanakwenda Direct.
 
Hao kina Ibra, yakobo nk huwa siwataji kwenye maombi yangu maana imani, nyakati na mapito yao na yangu hayafanani,, kuna mengi Mungu kanitendea kuna maombi niliwahi kuyaomba na yakajibiwa siku hiyohiyo, nk kwahiyo hata leo nikiomba huwa namkumbusha hayo matukio yaliyotokea kwangu mwenyewe
Baada ya kumaliza Form 6 , kila siku nilikuwa namuomba Mungu nichaguliwe chuo kikuu X kilichopo Dsm, na kweli nilipata, na pia nilikuwa namuomba nipate mkopo wa kutosha , nako pia nikapata 100%. Na vyote nilivipata kwa kusali sana sala ya Baba yetu uliye mbinguni..... maombi mengine niliongeza mwenyewe kwa namna niliyoona inafaa.

Sikumbuki kama hata mara moja nimewahi kuwataja hao jamaa wa Mashariki ya Kati.
 
Salaam kwenu Wanajukwaa,

Imezoeleka ama sijui ni utamaduni ama sifahamu kama ndivyo tulivyokariri, Wakristo wengi Tunapokua Tunaomba Uwa Tunaomba hivi, Huu ni Mfano wa Maombi yangu "Mungu Wa israel, Mungu wa yakobo, Mungu Wa ibrahimu, Mungu wa eliya Nakuomba unisaidie katika jambo hili, unisaidie kama ulivyowasaidia kina sharack, meshack na abedinego na kuwaokoa kwenye tanuru la moto"

Huo ni mfano tu wa jinsi ambavyo nimekariri namna ya kuomba, yakwamba kama nataka ku-emphasize kuwa Mungu anisaidie lazima nipite humo kwenye hayo majina Tajwa hapo juu.

Swali langu ni....?
Ni kwanini hatuwezi kusema Mungu wa Mshana Jr au Mungu wa Kapeace au Mungu wa dronedrake au Mungu wa Nakadori ???[emoji2955][emoji2955] kwasababu kama ni sababu ni kuwa Hao kina Yakobo, ibrahimu, isaka, eliya nk. Kuwa-emphasized ni kwasababu Mungu aliwaonekania. Mbona ata mimi Mungu ananionekania pia katika maisha yangu?? Au hili swala limekaaje labda??[emoji2955][emoji2955]

Anyway humu tuko wengi na wenye akili kubwa, wenye uwezo mkubwa wa kufikiri kuliko platform Yoyote ile apa Tanzania na nchi nyingine nyingi sana, natumai Nitapata majibu.

Naomba kuwasilisha
Kwako mleta Maada:
Unapoomba sema 'Mungu wangu.......' hapo utakuwa unamlenga moja kwa moja Mungu unaemwabudu na anaekusaidia wewe.

Haya mambo ya Imani tumefumbwa sana, ni vigumu kuyajua. Inawezekana kabisa Mungu wa Ibrahim na Yakobo na Yohana na Isaka ni Mungu wanne Tofauti, kila mmoja anafanya kwa Wake. Wewe unakwenda kumuomba Mungu wa Ibrahim, kumbe Mungu wa Ibrahim hawezi kukusaidia wewe anamsaidia Ibrahim.

Unaenda Kuomba Mungu wa Mshana Jr , kumbe Mshana Jr ana Mungu wake ambae hawezi kukusaidia wewe.

Kuna wimbo wa Nako2Nako unaitwa 'show love'. Kunamstari jamaa anauliza 'Kama Mungu ni mmoja hizi tofauti ni za nini?'

Kwahyo ndugu, kunauwezekano kila mtu ana Mungu wake. Ibrahim anamwomba Mungu wake anafanikiwa, wewe unamwambo Mungu wa Ibrahim unaangukia Pua, unaanza kulalamika Mungu hasikilizi maombi yangu, kumbe unaomba Mungu wa wenyewe🤣🤣🤣

Ukiomba, Omba kwa MUNGU WAKO.
 
Hivyo hivyo na mimi hufanya, nalia kwa kumkumbusha yale niliyoomba na akanitendea mimi,, yaweza kuwa vichache lakini ni vyenye uhalisia na kushuhudiwa katika mimi sio mwingine,,
Mi naona unapoomba kwa kumtaja mwingine ni kiaina km hujiamini, mapito imani na uwezo hatufanani kabisa
 
Ndio unaweza kusema eee MUNGU WA LISSU AU MAGUFULI ikiwa unaamin huyo MUNGU wao ndio nguzo yao ajifunie kwako kama alivyojifunua kwao

Tahadhari: Usipendelee kumwomba MUNGU wa Daniel kwan MUNGU atajifunua kwako kama kwa Daniel...je uko tayari kuvumilia kama DANIEL?
 
Salaam kwenu Wanajukwaa,

Imezoeleka ama sijui ni utamaduni ama sifahamu kama ndivyo tulivyokariri, Wakristo wengi Tunapokua Tunaomba Uwa Tunaomba hivi, Huu ni Mfano wa Maombi yangu "Mungu Wa israel, Mungu wa yakobo, Mungu Wa ibrahimu, Mungu wa eliya Nakuomba unisaidie katika jambo hili, unisaidie kama ulivyowasaidia kina sharack, meshack na abedinego na kuwaokoa kwenye tanuru la moto"

Huo ni mfano tu wa jinsi ambavyo nimekariri namna ya kuomba, yakwamba kama nataka ku-emphasize kuwa Mungu anisaidie lazima nipite humo kwenye hayo majina Tajwa hapo juu.

Swali langu ni....?
Ni kwanini hatuwezi kusema Mungu wa Mshana Jr au Mungu wa Kapeace au Mungu wa dronedrake au Mungu wa Nakadori ???[emoji2955][emoji2955] kwasababu kama ni sababu ni kuwa Hao kina Yakobo, ibrahimu, isaka, eliya nk. Kuwa-emphasized ni kwasababu Mungu aliwaonekania. Mbona ata mimi Mungu ananionekania pia katika maisha yangu?? Au hili swala limekaaje labda??[emoji2955][emoji2955]

Anyway humu tuko wengi na wenye akili kubwa, wenye uwezo mkubwa wa kufikiri kuliko platform Yoyote ile apa Tanzania na nchi nyingine nyingi sana, natumai Nitapata majibu.

Naomba kuwasilisha
Mbona watu wengi tu wanasema Mungu wangu? Au huwa uelewi kuwa wangu inasimama badala ya nini?
 
Kwako mleta Maada:
Unapoomba sema 'Mungu wangu.......' hapo utakuwa unamlenga moja kwa moja Mungu unaemwabudu na anaekusaidia wewe.

Haya mambo ya Imani tumefumbwa sana, ni vigumu kuyajua. Inawezekana kabisa Mungu wa Ibrahim na Yakobo na Yohana na Isaka ni Mungu wanne Tofauti, kila mmoja anafanya kwa Wake. Wewe unakwenda kumuomba Mungu wa Ibrahim, kumbe Mungu wa Ibrahim hawezi kukusaidia wewe anamsaidia Ibrahim.

Unaenda Kuomba Mungu wa Mshana Jr , kumbe Mshana Jr ana Mungu wake ambae hawezi kukusaidia wewe.

Kuna wimbo wa Nako2Nako unaitwa 'show love'. Kunamstari jamaa anauliza 'Kama Mungu ni mmoja hizi tofauti ni za nini?'

Kwahyo ndugu, kunauwezekano kila mtu ana Mungu wake. Ibrahim anamwomba Mungu wake anafanikiwa, wewe unamwambo Mungu wa Ibrahim unaangukia Pua, unaanza kulalamika Mungu hasikilizi maombi yangu, kumbe unaomba Mungu wa wenyewe🤣🤣🤣

Ukiomba, Omba kwa MUNGU WAKO.
Kusema MUNGU wa Ibrahim ina maana MUNGU ajifunue kwako kama kwa Ibrahim.
Kusema MUNGU wa stephano means MUNGU ajifunue kwako kama kwa Stephanie, je uko tayari?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom