Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 58,998
- 103,387
Muungano wa upinzani Tanzania ni matusi na dharau kwa watanzania. Haiwezekani Lipumba, Mbowe na Mbatia watoke usingizini na kusema vyama vya vimeungana. Haiwezekani wtu wako msibani wanaamka wanasema wameungana kupinga udikteta, wanapinga udikteta au wanapinga watu waliosusia msiba? Ujinga mtupu, watanzania tulishafanywa mazwazwa
Walio kufanya zwazwa ni hao waliongia mikataba ya wizi, kwenye kila ripoti ya mikataba ya wizi wanaishia kutaja majina ya waliongia mikataba hiyo bila kuchukua hatua yoyote. Ukiwaambia waweke hiyo mikataba ya wizi hadharani ifahamike inasema nini wanasema ni siri. Toka lini wizi ikawa siri? Halafu boya kama ww unakuja huku jukwaani mbio kuongea mambo mepesi ya kina Mbowe, nk huku unaacha kuhoji hatua stahiki kuchukuliwa kwa wezi.