Ni kwa sababu zipi tuiamini UKAWA ya sasa?

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,671
40,912
2015 UKAWA ilianguka ikiwa matika peak yake,
hayo yalitokea Zitto akiwa na ACT aliyoiunda baada ya kufukuzwa CHADEMA.

Bado nawaza ni kwa namna gani zao la usaliti likawa sehemu ya aliyesalitiwa na kufanikiwa.UKAWA tuambieni ni sababu zipi hasa tuwaamini sasa.
 
2015 Ukawa ilianguka ikiwa Katika peak yake,

Hayo yalitokea zito akiwa na ACT aliyoiunda baada ya kufukuzwa Chadema.

bado nawaza ni kwa namna gani zao la usaliti likawa sehemu ya aliyesalitiwa na kufanikiwa.

Ukawa tuambieni ni sababu zipi hasa tuwaamini sasa.

Aliyekuambia ukawa walishindwa ni nani? Na nani anataka uwaamini ukawa?
 
UKAWA ni genge la wasanii
alitangazwa mshindi hakushinda . ndo mana anaweweseka kutwa kucha natembea na mic za TBc mifukoni . alizindua viwanda vya sayona na maji ya kunywa . huku yale ya bomba yakimshinda kupeleka kwa walomchagua. wengi wanakunywa maji machafu. yye anafurahia viwanda vya maji ya wachache ati ajenge vumiwanda? huku kilimo kikipewa 22% ya bajeti kwa mwaka. zingine 1.5 trilion .phuuuiuu. zimeliwa.
 
Jo
mikataba mibovu tumeingia wenyewe! wezi tumewakaribisha wenyewe, kuibiwa tumetaka wenyewe, tume tunaunda wenyewe, majibu yetu wenyewe nk
Jibu hoja iliyoletwa jamvini kama unataka tujadili mambo ya mikataba fungua uzi wachangiaji tupo
 
Jo

Jibu hoja iliyoletwa jamvini kama unataka tujadili mambo ya mikataba fungua uzi wachangiaji tupo
najibu hoja: walioingia mikataba ya gase kwa ndiooooo nyingi na kushangilia leo wanaunda tume za kuichunguza na kuwaita waliowashaur mawakala wa mabeberu. alichokuwa anafanya ndugai leo ni usanii uliopitiliza hauna tofauti na ule wa makinikia. hajamdanganya mtu kajidanganya mwenyewe
 
Halafu kwa akili hizi mnataka Tanzania ibadilike. Watu mpo so partisan. Mnasahau hata maisha yenu kwa ushabiki wa vyama mtaendeleaje. Bora niongeze miaka kuishi huku niliko maana duh. Jamaica
 
Muungano wa upinzani Tanzania ni matusi na dharau kwa watanzania. Haiwezekani Lipumba, Mbowe na Mbatia watoke usingizini na kusema vyama vya vimeungana. Haiwezekani wtu wako msibani wanaamka wanasema wameungana kupinga udikteta, wanapinga udikteta au wanapinga watu waliosusia msiba? Ujinga mtupu, watanzania tulishafanywa mazwazwa
 
Hakuna haja CCM kuamini UKAWA Stroke..wewe ni maana CCM mwenzangu unatakaje uaminifu kwa UKAAWA..tuendelee kuamini fikra za Mwenyekiti wa CCM kama isemavyo katiba yetu. Waachwe UKAWA na majanga hao tuliyowatafutia
 
Aliyekuambia ukawa walishindwa ni nani? Na nani anataka uwaamini ukawa?
Mshindi hutangazwa na NEC;

NEC ilitangaza CCM kama mshindi kwa nafasi ya Urais.

Kwa nafasi za ubunge Muunganiko huo ulipata baadhi ya majimbo..

Swali langu linataka ufafanuzi kuhusiana na Sera inayoitambulisha Muungano huo kwa sasa ukiachana na yote hayo ambayo tumekua tukiyasikia toka kwa wanasiasa wa Muunganiko huo, jambo ambalo lina mantiki na ambalo litaleta suluhu ya changamoto tulizonazo kama Taifa.
 
Muunganiko ule haupo kisheria, bali ulikuwa njia ya kificho kwani sheria haitambui muungano wa vyama. Sasa unataka vipi msimamo wa kundi ambalo halipo na liliundwa rasmi kwa uchaguzi wa 2015 tu?
 
Back
Top Bottom