masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,581
- 20,216
usijari mungu ni mwema sana kamwe hawezi kumuacha atamponya tu. Get well soon mpenzie na masai dada aimeen.
asante mahondaw gudnyt
usijari mungu ni mwema sana kamwe hawezi kumuacha atamponya tu. Get well soon mpenzie na masai dada aimeen.
akuepushe na mabazazi au na nini??kama una mpenzi wako huko kitaa uwez sema hivyo ila kama unatafuta na kama ujaanza mungu anakuona na atakukutanisha na bazazi kama haupo siriaz
binafsi tumekutana kila mtu ana uhitaji,uhaba na kutamani kuwa na mpenzi,ni story ndefu ila ya kweli ipo siku tutaiandika hapa when it is the right time
ila hata tukipinga laki hutakaa umpredict kwamba ni nani
Usimuombe akuepushe maana humu humu inaweza kuwa ndiyo njia aliyopanga kukupitishia bahati yako, muombe akupe upeo mpana wa kuchambua (busara) maana huwezi kujua wapi bahati yako itapitia!!!
Usimuombe akuepushe maana humu humu inaweza kuwa ndiyo njia aliyopanga kukupitishia bahati yako, muombe akupe upeo mpana wa kuchambua (busara) maana huwezi kujua wapi bahati yako itapitia!!!
mi nahisi wa humu siwawezi kabisaa umujin mwingi mno ee mola eeee!!
sitoweza maana probability ya kuwa haexist ni 0.99
no need of predicting jamani tayari the man is there.