Ni kwa namna gani aliniona Sifai

Ni kwa namna gani aliniona Sifai

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,204
Ni siku tatu tu baada ya Mchakato makini, huyu manzi akanipigia simu na kuniambia ana ujauzito wangu?

Nilichomjibu ni kwamba anafikiri mimba kuingia ni kama kujambisha tairi kwa upepo yaani by any time T unakuta tayari imejaa,.

Baada ya jibu langu alichukia na kuniambia "mimi ni mtu wa Ajabu sifai kuwa nae , yeye Hana mimba wala ila alikuwa ananipima tu ili ajue mimi ni mwanaume wa namna gani?"

Na hivi ndivyo nilivyoachwa.


Cc Zero IQ
 
Aligundua kua uwezo wako wa uelewa ni mdogo sana hasa katika mambo ya reproduction,mimba ni rahisi sana kuingia inategemea na mmekutana tarehe zipi na katika situation gani,
So,usifikiri mimba kuingia ni kazi ngumu na ya muda mrefu kama vile kujenga flyover.
 
Kweli wewe ni Zero IQ !!! Ungemwambia na wewe ulikuwa unampima yeye ni mwanamke wa aina gani, ngoma droo, au siyo!??? Anyweiz, ACHA ZINAA na pia acha kucheza na mioyo ya ladies; ni very tender & delicate sana. Kama hujatoshea kuoa kwa heshima now, tulia tuuu kwa staha ungoje muda mwafaka ufike. Hauko peke yako, sawa!???
 
Aligundua kua uwezo wako wa uelewa ni mdogo sana hasa katika mambo ya reproduction,mimba ni rahisi sana kuingia inategemea na mmekutana tarehe zipi na katika situation gani,
So,usifikiri mimba kuingia ni kazi ngumu na ya muda mrefu kama vile kujenga flyover.
Yaan kaniacha hoi huyu Zero IQ, na jina lake lina msadifu vilivyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aligundua kua uwezo wako wa uelewa ni mdogo sana hasa katika mambo ya reproduction,mimba ni rahisi sana kuingia inategemea na mmekutana tarehe zipi na katika situation gani,
So,usifikiri mimba kuingia ni kazi ngumu na ya muda mrefu kama vile kujenga flyover.

Siku tatu!!
 
Back
Top Bottom