Ni kura ya wazi

Ni kura ya wazi

ommymbwambo

Senior Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
192
Reaction score
66
Bunge maalum la katiba limepitisha utaratibu wa kupiga kura kuwa wa wazi kwa anayetaka na siri kwa atakaye kama kamati ilivyopendekeza.
 
Sasa twende kazi, hakuna mshindi ccm, cdm , cuf, wala 201 iliyoshinda ni Tanzania
 
Kwa jinsi inavyopigwa bado inatafsirika kama wazi tu
 
Kazi kweli kweli...bongo hakuna geneous wa kuonyesha njia...hata kupiga kura napo shida?
 
Kwahiyo hata wananchi ikifika zamu yetu ya kupiga kura itakuwa ya wazi?
 
1. Kura ya SIRI.

2. Kura ya WAZI

3. Kura ya WAZI UNION SIRI

4. Kura ya WAZI OR SIRI..

Bado ni mkanganyiko.
 
Kwanini...? Kura ya wazi or siri,,, UTATA MTUPU....Rais vunja bunge tafadhali hapo hamna kitu, ubabaishaji tu huo..
 
Back
Top Bottom