Ni kupenda au kukomoa?

Huyo kaka ana matatizo ya akili sio bure, hayo sio mapenzi, maana imekuwa taabu sasa kwa mwenzie, mimi hainiingii akilini kuona jidume zimaaa, linashindwa kutafuta linang'ang'ana kwa dada wa watu wakati wanawake wamejaa tele. Looh! Ishi!
 
Lakini wajameni hatujaambiwa kuwa huyo dada alikuwa na sababu zipi za MSINGI za kumkataa,

huenda ndo maana jamaa anaona kuwa bado ana nafasi tu,

Pili,, huyo dada ameshapata boyfriend au bado yuko single? kwa sababu angekuwa na boyfriend wa ukweli2 sioni ni kwa vipi huyo jamaa angeweza kumfatilia hivyo.

Jingine, kama marafiki wa huyo dada ni marafiki wake pia kwa nini asiwaombe marafikiz ake mwamweleweshe kuliko kukaa katika hali hiyo?

wapi cheusimangala....
 
mwaka mmoja na nusu unatuma sms bila kujibiwa na unendelea kutuma/piga tu haiwezekani,
huyu hawa wote wanpendana na wawasiliana vizuri ACHANA NAO.
 
mwaka mmoja na nusu unatuma sms bila kujibiwa na unendelea kutuma/piga tu haiwezekani,
huyu hawa wote wanpendana na wawasiliana vizuri ACHANA NAO.

Ukisikia Dedication ndio namna hiyo; Jamaa yuko kwenye fani!
 
Back
Top Bottom