Ni kuhusu biashara ya asari kenya

Ni kuhusu biashara ya asari kenya

Joined
Oct 14, 2013
Posts
95
Reaction score
63
Wakuu nawasarimu..naomba ushauli wenu...nataka kuanza biashara ya asari kutoa tanzania kupeleka kenya,nasikia inalipa sana.sasa humu kuna watu wazoefu wa hizi biashara naomba mnishauli.
 
Una mteja upande wa Kenya? Hakikisha una wateja na mmeisha afikiana,

Huku lazima uwe na Vibari kutoka Mali asili vya kuvuna na kuuza nje asali,
 
Wakuu nawasarimu..naomba ushauli wenu...nataka kuanza biashara ya asari kutoa tanzania kupeleka kenya,nasikia inalipa sana.sasa humu kuna watu wazoefu wa hizi biashara naomba mnishauli.
Asari ndo zao gani mkuu
 
Back
Top Bottom