Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 22,715
- 54,594
Mna tabia mbaya sana nyieHahahah ila sio wote bwana, au braza nae kakupiga tukio
Mna tabia mbaya sana nyieHahahah ila sio wote bwana, au braza nae kakupiga tukio
😂😂Binamu yako sio ndugu yako.
Hasa hii binamu ya kiafrica.
Sio cousin.
Ni makubaliano ya kifamilia tu mnaoana