Ni kosa kubwa mwanamke kumpenda mwanaume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kosa kubwa mwanamke kumpenda mwanaume

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mimi ai, Oct 23, 2012.

 1. m

  mimi ai Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kosa kubwa mwanamke kumpenda mwanaume
  ni kosa zaidi mwanamke kuishi na mwanamme unayemuhudumia kwa kila kitu
  ni kosa kubwa zaidi kuishi na mwanamme asiekujali kwa lolote zaidi ya ngono

  bora kuishi na kuku kuliko kuishi na mwanammetapeli na mnafiki
  heshimu uzuri wako ni rasilimali toka kwa mungu alikuumba ufurahie

  nawasilisha
  mimi hapa
   
 2. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  ni kosa kubwa kwa mwanamke kudemand mwanaume bora wakati yeye mwenyewe hana vigezo vya mwanamke bora
  ni kosa kubwa kwa mwanamke kulala na mwanamke kabla ya kufunga ndoa
  ni kosa kubwa kwa mwanaume kumuheshimu mwanamke ambaye ameshiriki naye ngono
  ni kosa kubwa kwa wanawake kuwakandia wanaume kuwa ni wanaume suruali
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  alamsiki
   
 4. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,371
  Likes Received: 718
  Trophy Points: 280
  Ni kosa kubwa kila saa kuandika kuhusu wanawake tu!!!!!!!!!!
   
 5. happiness win

  happiness win JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,478
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Maandiko yanasema, Mwanamke ataambatana na mumewe na kuwa kitu kimoja. Enyi wake watiini waume zenu
  Enyi waume wapendeni wake zenu.
  Hapa tunapata kitu kimoja ambacho ni mwanamke na mwanamume wanaopendana na kuheshimiana.

  Tunaendelea na maandiko, yanasema Mwanamume atalima kwa tabu kutafuta chakula.
  Mke mwema huamka asubuhi kabla jua halijaisha na kujishuhgulisha ili kuwapa watu wa nyumbani mwake chakula.
  Hapa tunapata mke na mume wanaojishughulisha kwa ajili yao na familia yao.

  Maandiko hayooo.... Ibrahim na Sara wakafurahi na kucheza pamoja. Tunajifunza kuishi kwa furaha na waume zetu na sio kufurahia kuishi na kuku! Mume/mke ni bora zaidi ya viumbe wengine!
  HAYO ULIYOAANDIKA WEWE MUWASILISHAJI NI UBATILI.
   
 6. Mzalendo wa ukweli

  Mzalendo wa ukweli JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 562
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Mmmhhh MIMI AI pole sana na mbona umefika mbali sana kulikoni au yameshakukuta? Hutakiwi kujuta kwa kiasi hicho na huu ni mtazamo wako ambao si lazima uwe sahihi especially kwa hoja yako ya kwanza.Kama ni kosa mwanamke kumpenda mwanaume then mwanamke anatakiwa ampende nani au mwanamke mwenzie?
  Kwa hoja yako ya pili na ya tatu hapo ni sawa.Ni hayo tu hayo mengine watakuja wengine waongezee!!!!!
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  ni kosa kubwa kwa mwanamke kuona yeye ni wa kulelewa tu na mwanamme
  ni kosa kubwa kwa mwanmke kufikiri uzuri wake ndio kila kitu
   
 8. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Nafikiria kutengeneza special strategy ya kukupata............
   
 9. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Pole dada angu ndo game of love hiyo!!tatizo mnapenda ma handsome kwa ajili ya show off
  ndio hapo unajikuta unamnunulia hadi boxer,at the end of the day unakuja gundua ana vimwana kama mia
   
 10. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145

  Pole sana kwa yaliyokusibu. Ila nahisi kuwa kosa kubwa zaidi lilikuwa kwako kwa sababu ...
  1. Uliwezaje kuishi na mwanaume asiyekujali?
  2. Ulikubaliaje kuishi na mwanaume unayemhudumia kwa kila kitu? Ina maana hana future huyo, kula kulala ....
  3. Ulikubalije kumpenda mtu mwenye sifa hizi mbaya hapa juu?
   
 11. Nokla

  Nokla JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 2,121
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  Nikosa kubwa kwa mwanamke kumkatalia mwanaume pindi anapokutongoza
   
 12. T

  Tetra JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ni kosa kubwa kuwahukumu wote kwa kosa la mmoja.
   
 13. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #13
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  Kama kweli umenia huwezi mkosa maana mahitaji yake yapo wazi sana.
   
 14. zimwimtu

  zimwimtu JF-Expert Member

  #14
  Oct 23, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 1,889
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  asante sana happines...., KILE IT.
   
 15. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #15
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Naunga mkono hoja.
   
 16. piper

  piper JF-Expert Member

  #16
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Umetendwa?
   
 17. M

  Mundu JF-Expert Member

  #17
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Ni kosa kubwa kulalamika hovyo hovyo kila mahali
  Ni kosa kubwa kurudia kosa
  Ni kosa kubwa kusubiri vitu vishuke tu kama mana itokayo mbinguni
   
 18. T

  Tetra JF-Expert Member

  #18
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ni kosa kubwa kuwahukumu wote kwa kosa la mmoja.
  TUNAFANANA HATULINGANI
   
 19. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #19
  Oct 23, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Mkuu sijali sana mahitaji yake, mi ntakachofanya ni kumfanya yeye ndio ajitahidi kuyafuata yangu.........
   
 20. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #20
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  kasema amechoka kulea,so angependa umlee yeye.vp gari ipo?nyumba?familia bora?pesa ya kutosha ipo? tambua yeye ni mhandisi wa mawasiliano. jitahidi umpate for good mkuu.best of luck!
   
Loading...