Ni kosa kisheria na adhabu yake ni nn? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kosa kisheria na adhabu yake ni nn?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Mtized one, Aug 1, 2011.

 1. M

  Mtized one Member

  #1
  Aug 1, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuwana mahusiano na mke,mume au mchumba wa mtu....ni kosa kisheria..?
   
 2. ABEDNEGO

  ABEDNEGO Senior Member

  #2
  Aug 1, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 109
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kuhusiana na mke wa mtu kimapenzi kisheria ni kosa la jinai, Kwani tunaposema mke ni yule mwenye ndoa haijalishi ya msikitini au kanisani tofauti na mpenzi.Ndoa ni maagano ya watu wawili mke na mwanaume waliokubaliana kisheria kuishi pamoja.Wana mkataba wa kisheria ambao umefungwa kutojihusisha na mke/me mwingine-Marriage is a social union or legal contract between people that creates kinship. I

  t is an institution in which interpersonal relationships, usually intimate and sexual, are acknowledged in a variety of ways, depending on the culture or subculture in which it is found. Such a union, often formalized via a wedding ceremony, may also be called matrimony. .Adhabu yake yaweza kuwa kifungo au faini, Kulingana na uzito wa mahusiano na ushahidi wa ugoni.
   
 3. hengo

  hengo JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Je wewe ukimfumania demu wako anagawa utafanyaje?Kwa uzoefu wangu ukifumaniwa na mke wa mtu/mme kama mwenye mme/mke ana mapenzi ya dhati ujue umekufa, ila ukinusurika ukafikishwa mahakamani jua issue imepoa maana ni kesi ya madai (Civil case) na adhabu yake ni faini tu wala Polisi haiwahusu.Lakini kuwa makini unaonekana kuna mke wa mtu unamnyemelea.
   
Loading...