Ni kiumbe gani hapa duniani huishi milele bila kufa?

roho ni kitu ambacho hatukifahamu tuna dhana tu kwamba kuna roho ila hakuna anaeijua wala aliewahi kuiona roho na uhai ni hali ya kuwa na uwezo wa kuishi kuendelea kuvuta pumzi za Mungu kwetu sisi binadamu na mimea na kuna vitu vingine vimeumbwa vina uhai ila havina roho mfano hii dunia, sababu tunaeza sema ina uhai sababu ipo na siku ikaja ika collapse tutasema dunia imeisha(imekufa)
Kumbe ni dhana. Mimi nilifikiri kuna kitu kinaitwa roho kweli
 
Jibu lako hakuna kiumbe hai anaye ishi bila kufa kinachobaki kuwa hai ni roho tu na roho sio kiumbe ni kisababishi cha kiumbe kuwa hai kinapotoka uhai hutoweka hata mtoaji roho Israil atakufa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom