Sijui nikuelezeje rafiki yangu,mapenzi ni kitu cha ajabu sana na mwanzo mara nyingi huwa ni mtamu hata uambiwe mwenzako kikojozi,mwizi,mbinafsi nayote uliyorothesha unaweza ukakataa sasa mambo hugeuka siku baada ya siku huwa sielewi ni nini?.......inaweza kuwa kuchokana,kuzoeana sana na kuona hakuna jipya au mapenzi kupungua/kwisha hapo ndo huwa tunaanza kuhesabiana kila kosa tunalofanya siamini ale tunayoona kwa wapenzi wetu leo yameanza sasa mengi ni tabia wlizokuwa nazo toka tunakutana
Mimi weakness yangu ni kuambiwa napendwa tu................................hata nikimfumania mara mia,akiomba msamaha na kuniambia ananipenda tu inatosha............NITAMUACHA PALE TU ATAKAPOSEMA KWA MDOMO WAKE HANIPENDI AU HANA HISIA NA MIMI TENA,MENGINE YOOOTE NI MAPUNGUFU YA KIBINADAMU TU AMBAYO I BELIEVE NO MAN IS IMMUNE TO THEM UNLESS THE WORD PERFECT IS A COMMON EXPRESSION OF EACH DEED!
<font color="#b22222"><font size="3"><span style="font-family: book antiqua">...kama hisia za kupenda zinapokuja kwa sababu mbali mbali, hisia za kuachana pia huja hivyo hivyo.. i.e <i>Ugomvi wa mara kwa mara, kutukanana, kuacha/kunyimana tendo la ndoa, ulevi wa kupitiliza, kukata mawasiliano, cheating na Ex-/new partners, utoro [absentiism]nyumbani,</i> na <u>visa vingi</u> vinginevyo..
Kwa ufupi, ni hisia zote ambazo ni kinyume na kupenda. La msingi ni kupambana na vishawishi hivyo ili kunusuru mapenzi/ndoa yako. Bahati mbaya/nzuri, wengi <b>'huanza kuachwa'</b> hata kabla hawajaingia kwenye ndoa, lakini huzifungia macho makusudi dalili hizo kwa matumaini <b><u>wakishaoana</u></b> au kupata mtoto Wenza wao watabadilika. 'love is blind!'</span></font></font>
Lizzy,
Ma-Bachela na Ma-Single huwa mnanifurahisha sana! Mambo yenu ni ya kusadikika tu!
Inaboa sana....
Kwenye masimango bado hujaambiwa kama sio mimi ungekua hivi au vile?!Ungejua hiki au kile?!Sijui nini na nini....
so kwa kauli kama hiyo hutaweza kuvumilia japo unajua aliku push kidogo kwa kuongezea jitihada zako ndio umefika hapo ulipo? yaani amesema tu kwa kujifariji/pombe etc?
Kila siku jamani!?Hata mbele za watu bila au hata ukiwepo?!Kuna umuhimu gani wa kufanya hivyo kama asante nilishampa na sichoki kumuonyesha kwamba nashukuru kwa ukarimu na uwepo wake?!Baada ya muda mtu utakosa hata amani...hata akikupa kitu unaogopa kuchukua..kisa cha kuishi kwa wasiwasi?!
Kila siku jamani!?Hata mbele za watu bila au hata ukiwepo?!Kuna umuhimu gani wa kufanya hivyo kama asante nilishampa na sichoki kumuonyesha kwamba nashukuru kwa ukarimu na uwepo wake?!Baada ya muda mtu utakosa hata amani...hata akikupa kitu unaogopa kuchukua..kisa cha kuishi kwa wasiwasi?!
<br />mie nimebaki naduwaa coz Lizzy alivyoviorodhesha ndivyo tunavyopambana navyo humu ndani kwa namna moja au nyingine...cheating/gubu...etc ndio hayo ya kila cku yanayotuzunguka....
mbali na gubu bado kuna mengineyo, binafc ckujuaga kama angeweza ku cheat kwa kiac kile, kwa nilivyokuwa namuamini, (nilichukulia yale mapenzi ya mwanzo ndio yataendelea hata baada ya miaka 5) kumbe hapana....kwa wakati ule ungeniuliza ningesema ctaweza kumsamehe..... amesha cheat na nikajaribu kusamehe na maisha yanaendelea japo inauma but nilikubali ukweli kwamba kimetokea na ckuwa tayari kwa wakati ule tutengane, so my dear Lizzy, ucpokutana na ki2ko hiki utakutana na kile, either cheating/gubu/kupigwa etc.....hakuna mkamilifu.
<br />
<br />
Mae, mnaweza kuona ni mahusiano ya kufikirika zaidi.....
Nimesoma mambo yaliyoorodheshwa juu, nikajaribu kupima....hata ni ngumu japo inawezekana kabisa kuachana kutegemea na mtu na mtu.
Mimi nimefikiria hayo yanapofanywa repeatedly, unajua ni kwa kiasi gani yanaleta 'damage kwenye mahusiano kati ya wawili?
How long can one put up with such things?
mapenzi ni kama maua
mwisho hunyauka baada ya kuchanua....
so be prepared
Binafsi vitu ambavyo vinaweza kuniondolea yale mapenzi nlokua nayo mwanzo ni ....
1. Kunipiga - mwanaume kuniinulia mkono mwanamke mzima ambae kama kuna tatizo angeweza kunijulisha kwa njia nyingine na likatatulika kwa kweli siwezi kuvumilia.Maana ukichekelea leo jiandae na kesho!!
Teh teh teh Boss bana....
am i wrong????