Ni kitu gani watu wengine huona kuwa cha kawaida ila wewe huwezi kufanya au kuwa nacho?

Sasa kama umevaa ndefu iliyofuata mwili hadi miguu ilivyo, kwanini usianguke.

Kuna vitu huwa mnalazimisha hata hadhira wanaona haviwapendezi.

Nguo ndefu pana utaangukaje
FYI ile dress haikuwa ya kubana. Google sketi ya charanga uione namna iko

Km ulisoma comment vzr, wakati nashuka ngazi, licharanga limesambaa ukijikanyaga tu basi.

Bora ya kubana, kuliko liwe pana
 
Cha kunifanya niwe desperate ni kipi sasa hapo??


Simu siweki protector sbb linakuwa lizito
Sisuki sbb short hair looks cute more than misuko
Siwezi kukaa bila bando
Sivai long dresses
Simu kuitumia muda mrefu naichoka.

So hapo cha kufanya niwe desperate ni kipi hapo? Au mkuu huijui huo msamiati unamaanisha nini?
Au mkuu huijui huo msamiati unamaanisha nini??

najua,, through nilikua na guess kitu flani hivi kutokana na comment zako so kama uko fresh ni vizuri.
 
Back
Top Bottom