Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 46,955
- 122,232
Hahahaaaanikishavaa fupi siinami, kama kuna ulazima kuna kuinama kwa staha pia. BTW sio fupi ile ya kushindikana duniani mpk akhera
Hapo kuanza kuinama kwa kuvizia ndipo huwa nafikiri sijui kwanini hamuwazi sawasawa pindi mnapovaa nguo za namna ile