Ni kitu gani kimemsibu Kikwete?

Ni kitu gani kimemsibu Kikwete?

Lusungo

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
29,504
Reaction score
42,579
Wana ukumbi salaam.

Kwa muda sasa tangu aondoke madarakani JK aliyesema sasa anakwenda lala usingizi mtamu anaonekana kudhoofu kuliko kawaida.

Nimemuona kikwete Mara nyingi sasa akiwa anaendelea kudhoofu kadiri siku zinavyosonga....

Mungu ampe afya njema Kikwete wetu maana anatia huruma sana!!!
1471166798606.jpg
 
Hiyo picha ukiicheki mabegani kama imephotoshopiwa au kuna kioo hapo?,
ila labda angle waliyopiga picha ndo imemtoa hivyo,hebu tupia picha zingine mbili tatu za hivi karibuni,maana mnashupalia picha moja tu
Angalia video wakati akifungua mkutano Dodoma kisha angalia na picha hiyo!!

Hiyo picha imerushwa na vyombo vya habari huko Zambia so hawana sababu ya kuifanyia Photoshop!!
 
Back
Top Bottom