Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 57,027
- 94,673
Hizo tuition za asubuhi ni business as usual wa Mkuu wa Shule na walimu wake, kataa na mtoto kuamka saa 10 usiku kila siku za shule ni dhambi mbaya sana, kwani unamuharibu ubongo wake kwa kukosa usingizi mzuri, hata shuleni hataweza kusoma sbb ubongo wake utajaa usingizi mtupu.Labda niulize sisi tuliosoma miaka ya nyuma na sasa kuna kitu gani kimebadirika?
Tulisoma bila kuwa na vitabu, hatukujuwa sylubus yoyote, Primary tuliwahi namba SAA 12 asubuhi na SAA 8 mchana ni mwisho wa masomo na kurudi nyumbani na wengi hatukusoma masomo...
Nakubaliana na wewe mia kwa mia.Bongo hakuna shule, bali vituo vya kufanya mitihani
Akili zako hazikutoshi, Mimi ni mlezi siyo mzazi, mtoto amefiwa na mzazi wake nimebeba jukumu la kumlea.MWANAO NI KILAZA HILO HALINA MJADALA
Bongo hakuna shule, bali vituo vya kufanyia mitihani
Huyo ni DOKTA MATOLA MAVI.MWANAO NI KILAZA HILO HALINA MJADALA
🤣👋Bongo hakuna shule, bali vituo vya kufanyia mitihani
Nakubaliana na hoja yako, maana malezi ya awali aliyopata kutoka kwa mzazi nayajuwa vizuri, ni aina ya malezi ambayo nayapinga sana kuwapenda Watoto kupita kiasi, halafu imagine Mungu amemchukuwa.Lakini kumbuka kuna walioshika nafasi za juu kutokana na hayo mateso. So, hitimisho ni kuwa mtoto wako uwezo wake ni huo ukimtesa na wenzake yeye anaishia hapo.
Siungi mkono watoto wanavyohangaishwa siku hizi hata mimi nina kibinti kinapata shida ilibidi hadi nikiamishie shule ya karibu maana alikuwa wa kwanza kufuatwa wa mwisho kurudishwa plus ma weekend kwenda shule nikaona nimtafutie shule ya karibu ambapo anafuatwa saa moja na robo saa tisa na robo yuko home.
Kweli hiyo ni changamoto. Hapo mpeleke taratibu mkuu maana ikiwa ghafla kweli anaweza kuhisi unamtesa.Nakubaliana na hoja yako, maana malezi ya awali aliyopata kutoka kwa mzazi nayajuwa vizuri, ni aina ya malezi ambayo nayapinga sana kuwapenda Watoto kupita kiasi, halafu imagine Mungu amemchukuwa.
Kuna wakati nashindwa kumnyoosha kwa principal zangu asije kuona anafanyiwa hivyo kwa sababu mzazi wake amefariki dunia, inahitaji busara sana kuishi na Watoto walipatwa na mazingira haya.
Hao ni Genius hawahitaji shule, wao ndio watoa syllabus.Isack Newton alisoma shule ipi vile?
Alikuwa na mwalimu wake anaitwa Isaac BarrowIsack Newton alisoma shule ipi vile?
Na sisi tunatakiwa tuwaelelekeze watoto wetu huko, kwa kuangalia vipaji vyaoHao ni Genius hawahitaji shule, wao ndio watoa syllabus.
Huyo mwalimu wake alisomea wapi?Alikuwa na mwalimu wake anaitwa Isaac Barrow
Na pia alisoma Trinity college na King' School huyo mwalimu nadhani walikuta Cambridge college thou sina hakika.Huyo mwalimu wake alisomea wapi?