"Tume Huru ya uchaguzi imemaliza kazi yake siku chache tu zilizopita na matokeo yake tumeyaona.
Sasa kumeundwa "Tume Huru" nyingine ya kuchunguza mambo ambayo kila mtu mwenye akili timamu anajuwa sababu zake na matukio yaliyo ambatana na sababu hizo.
Kwa nini pawepo na matarajio tofauti na yale ya "Tume Huru" iliyo bariki chanzo cha haya matukio yatakayo chunguzwa na hii tume mpya iliyoundwa?
Ni kitu gani hasa kinachofanya hizi tume ziitwe "Tume Huru"? Uhuru wake ni upi hasa?
Kwa nini Samia Suluhu Hassan anapenda sana ulaghai na kejeli za aina hii? Huwa haoni kuwa waTanzania wanajuwa maana ya "Tume Huru" ni kitu gani?