Ni kifungu gani kinamlazimisha mwanaume wa kikristo kuwa na mke mmoja?

Kila mtu na limitations zake,...

Mfano Mimi, ukichepuka ndio bye bye...

Nilikubali kuolewa na wewe sio kwa sex peke yake

Bali kuanzisha pamoja familia..

Familia tuliyojiwekea na kujiapiza kuilinda

Leo nikuone una divert attention,resources za familia kwenda kwingine...

And then ni accept?

No!

Either you are in or out!

Lo!

Labda ndio maana wengine hatuolewi

Too good for you all...
vipi umefikisha 35+? samahani lakini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili ndio ambalo sisi wakristo yapasa kulifanyia kazi.

Mtu ana mke mmoja, lkn ana michepuko saba tisa kumi.


Lkn hata kwenu waisalam..ukweli nikwamba , Hata muoe wake 4 , bado tu nje mnataman kama kawa na nje bado mnakua na michepuko ...

Kwenu niwapongeze wanawake wenu... Akiwa mshika dini, huwa ni ngumu kuchepuka !!!
ushafanya utafiti kuhusu hiyo ya wanawake wa kiislamu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazee wa 'quantity over quality'

Mapenzi gani yenye utitiri wa watu ilhali humudu kumridhisha hata mmoja?.mahitaji si chakula na mavazi tu

Nitaftie mwanamke leo anaependa waolewe wawili..hakuna...ni ubinafsi wa muoaji kutizama anachotaka yeye na si mwenzake..bila kujali km karidhia au la..usije na habari ya jinsia ipi ni wengi nk

Mwanamke akifidia usichompa kwa mwanaume mwingine au kutamani mwingine utajiskia vizuri?..

Mapokeo yapo ila uhalisia wa saikolojia ya ndoa haitawaacha salama...jiandae kudeal na changamoto za wake wengi pia sio lelemama
bora mtu awe na wake wawili au watatu kuliko kuwa na mke mmoja na michepuko minne

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ubinafsi...mtu anajiangalia yeye afurahishwe akojoe alale

What about the other person.?ana furahia part time love?..what about shughuli za kijamii unaweza muaccompany freely kama mwenzi wake?.how can you na una mke?.
What about watoto..is a part time father a good parenting model?..je pesa tu inakidhi mahitaji?

Wakihitaji uwepo wako kila siku can u manage?.how can you na una mke nyumbani?..what about sexual needs?.


Either ways ni ubinafsi wa mume...na mmoja lazma ataumia alieolewa ndani ama wa nje ama mume mwenyewe kwa kusaidiwa ule mda ambao hayupo ama ktkt yale asiyotimiza kwa kuwa anatimiza nyumba ingine
in short kuwa haiachi mtu salama
michepuko hata kwenye ndoa za mke mmoja ipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo Ni kwamba wanawake mnataka kutimiziwa mahitaji yenu na matakwa yenu.
Huu Ni ubinafsi tu.
Na mwanamke hata umfanyie kila kitu huwa haridhiki na ndio anakuwa anataka uongeze zaidi.
Wanaume wengi wamejikuta wanaishi kutimiza matakwa ya wanawake.
Hivi, babu zetu walikuwa na wake 7 walishindwa kulea watoto na kuwakuza?
Au ndio mnataka tuwasaidie mpaka kuvadilisha nepi ndio muone parenting?
Acheni kusingizia watoto.
wanawake wabinafsi sana refer migogoro ya mawifi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si kweli...

Maisha marefu yapo...yanachangiwa na sababu nyingi

Maisha mafupi sababu ya mke yanasababishwa na

Humjui mkeo,hujui saikolojia ya mwanamke hata mwili wake tu huujui..unawahi nje ilhali bado hujatimiza ndani.,kwanini usife mapema? Mke ana gubu rohoni unamtenda hiyana unategemea uwe na furaha?.
wewe saikolojia ya mwanaume unaijua?? mwili wake unaujua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoa za kimila ndio hizo watu wanaoa wake kibao.
Anatandika nyumba mtaa mzima unakuwa wake.
Hizi ndoa tunazoenda kufanyia kwa taratibu za kikoloni ndio Zina shida.
Taratibu zenyewe waliotuletea walishazibadili na kurahisisha kuachana na kuoa Tena.
Huku tumebaki na Ile ya kufa na kuzikana.
Mwanaume unajikuta unatimiza matakwa ya mwanamke. Ndio maana wanawake huwa mnazifurahia na kulazimisha
ndoa ni kwa ajili ya mwanamke,inambeba sana mwanamke ndo maana wanawake wananga'nga'nia sana ndoa,wengine wanaenda hadi kwa waganga wa kienyeji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujue issue sio kuoa

Kuoa unaweza kuoa
Issue ni kumudu hio mitala

Msingi wa ndoa yoyote ni uaminifu
Ina faida gani kusema umeoa zaidi ya mmoja ilhali unasaidiwa?.
Dhana ya kumiliki hao wanawake inakuwepo kiuhalisia?.

Mfano una mke na michepuko miwili
Mda ukirudi kwa mkeo unadhani hawa michepuko wanakusubiria tuuu?wanalala wenyewe kila siku tuu?.
hata wa mke mmoja wanasaidiwa pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mke na michepuko 10
Huo ni mtandao wa kuambukizana magonjwa ya zinaa tu

Kiuhalisia mtu gani utasema kwa kujiamini kuwa unaridhisha wanawake 10?.
hivi kuna mtu anaweza kumridhisha mwanamke?? mwanamke anataka mume wake awe na muonekano,mzuri,awe amesoma,awe ana pesa,asaidie ukweni,ampe muda wake,awe daktari,awe fundi,awe mwanamuziki,awe boss wa kampuni...n.k,kuna mtu anaweza kuwa hivyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si kweli
Wapo wengi tu wametulia

Na tuliangalie kwa mapana
Wake wasiojiheshimu wako maofisini tu?
Mama wa nyumbani wanaodeal na boda boda?ama shemeji zao?.walimu na walimu wenzao?ni suala mtambuka wana kipi in common?.tusitizame ofisini tu


Kuridhika kwa mtu yoyote naamini ni lazma iwe mchanganyiko wa maamuzi binafsi na mapenzi unayopewa na mwenzako...

Ni rahisi kumridhisha alieamua yeye mwenyewe kuwa mwaminifu kwanza
una uwezo wa kumpa game mmeo kila siku?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Laba niulize matakwa ya mwanamke ni yapi?.


Mafanikio yapo mengi
1.Presence ya wazazi wawili katika familia ina faida kuliko mmoja
2.Kuconsolidate uchumi sehemu moja ni faida kuliko kugawa nyumba 2 au tatu..hapo sijahesabu in laws wa pande zote na utegemezi wao
3.Kuna uwezekano kumudu standard to high life mkiwa familia ya wachache na si wengi
Mfano una wake 3 kila mtu awe na nyumba na gari na watoto wako shule nzuri unahisi walau kwa mwezi uwe unaingiza sh ngapi
4.ukipata mke mwelewa ni rahisi kuona raha ya ndoa/true partnership sio hii ya juu juu mtu unaishi nae hata hakujui mana kawapanga foleni...sometimes mke au mume mwelewa anaundwa...ukimsoma mtu saikolojia yake na kumpenda the 'proper way'
Nk
haihusiani kuna mtu ana watoto wawili tu ila ni masikini na hawezi kuwahudumia ila kuna mwenye wake wawili + watoto watano na anapay bills as usual

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom