Ni kifungu gani kinamlazimisha mwanaume wa kikristo kuwa na mke mmoja?

Akuna sababu yoyote ya msingi inayoweza kuzuia mtu kuowa mwanamke zaidi ya mmoja, wapo kwenye biblia watu waliowa wanawake zaidi ya 1 na mungu aliendelea kufanya nao kazi.
Vitu viwili vinavyo tuchanya sisi wakristo.
Biblia na doctrine ya kanisa
 
Ndio tunauliza hilo katazo wakristo tumelitoa wapi?
Kwnye kitabu cha mwanzo
Huwa wanapenda kulisoma kwny misa ya ndoa
Mwanaume ataacha wazazi wake and viceversa ataambatana na mkewe..nao watakua mwili mmoja

Adamu aliumbwa mmoja na Hawa mmoja
So its implied.,

Waliooa wake wengi hamna ubarikio wa ndoa
kuhalalisha mke wa pili...atleast mi sijaona ibada ya mke wa pili na kuendelea..wajuvi watasaidia
Mfano Ibrahim mke wake Sara..yule mjakazi ilitokea kama default na badae kuishi pale ilishindikana sio kwamba aliolewa official or anything

Ubarikio wa ndoa ya mke mmoja tumeona
1.Adam na Hawa
2.Rebeca na Isaac,
3.Yakobo na Rachel...japo kimazingira alifosiwa kuoa dadake kwanza /Leahh..ye alimpenda Rachel pale
4.Mtaongezea
 
Sawa nimekusoma
Kwnye kitabu cha mwanzo
Huwa wanapenda kulisoma kwny misa ya ndoa
Mwanaume ataacha wazazi wake and viceversa ataambatana na mkewe..nao watakua mwili mmoja

Adamu aliumbwa mmoja na Hawa mmoja
So its implied.,

Waliooa wake wengi hamna ubarikio wa ndoa
kuhalalisha mke wa pili...atleast mi sijaona ibada ya mke wa pili na kuendelea..wajuvi watasaidia
Mfano Ibrahim mke wake Sara..yule mjakazi ilitokea kama default na badae kuishi pale ilishindikana sio kwamba aliolewa official or anything

Ubarikio wa ndoa ya mke mmoja tumeona
1.Adam na Hawa
2.Rebeca na Isaac,
3.Yakobo na Rachel...japo kimazingira alifosiwa kuoa dadake kwanza /Leahh..ye alimpenda Rachel pale
4.Mtaongezea
 
Ina maana kanisani kwake mtu akitaka kuoa mke wa pili anamfungisha ndoa si ndio
Hapo sijajua, ila nasikia hata mke wake wa ndoa ana sali kanisa lingine hasali hapo. Yaelekea mtumishi ni mshenzi kwa totozi. hahahahha
 
Kila mtu na limitations zake,...

Mfano Mimi, ukichepuka ndio bye bye...

Nilikubali kuolewa na wewe sio kwa sex peke yake

Bali kuanzisha pamoja familia..

Familia tuliyojiwekea na kujiapiza kuilinda

Leo nikuone una divert attention,resources za familia kwenda kwingine...

And then ni accept?

No!

Either you are in or out!

Lo!

Labda ndio maana wengine hatuolewi

Too good for you all... 😂
Simamia hapo hapo......
 
Unajua watu wanajipa shida sana.

Utawala wa Mungu ni utawala wa Kifalme, Mungu sio mfuasi wa demokrasia (wengi wape) , ndio maana hana hajiiti Rais, wala hana waziri wala wakuu wamikoa n.k

Sifa moja ya mfalme akisema kasema, kauli ya mfalme huwa ni Order ..

Hata alipotoa Amri Kumi, aliziandika.mwenyewe kabisa kwa kidole chake tena akisema "Mimi bwana Mungu wako" ...angekua Mwanademokrasia, angewahusisha wanadamu, angewapa wazijadili kisha wapendekeze marekebisho.

Vivyo NENO LA MUNGU alotoa kupitia Watumishi wake, Halipaswi, na Halitakaa kuchambuliwa kuutafuta Upungufu kwa sababu nineno LILILOJITOSHELEZA NA LIKASHIBA... na alilitoa kama Muongozo ili watu waishi kufuatane nalo.

Changamoto ni katika kusoma na kulitafasiri ,ila lenyewe litabaki kua la Kweli. Kamilifu ja lililojitosheleza lisilohitaji nyongeza wala pungufu mpaka pale YESU ATAKAPORUDI nalo litabakia kuishia ivoivo milele.


Kwa maana nyingine ni kwamba, alipotoa neno.lake, Aliwaagiza watu kulifuata lkn akaacha kuwalazimisha yaan ikabaki ni wajibu wa mwanadam kulifuata ...au kutolifuta ( hapa haitaji eti alifanyie mabadiliko ili wengi walifuate sababu linawapendeza)
Hapanaaaaaaaa !!!!



Ivo kwangu mimi, pamoja nakusoma maandiko ingawa bado naendelea kujifunza,.... Fundisho la Ndoa, ni la Mke mmoja na mume mmoja.


Anaposema askofu awe wa mke mmoja maana yake nikwamba.... HAKUNA MTU ATAKAYEKUA ASKOFU KAMA HAJAOA....ASKOFU NI LAZIMA AWE AMEOA...NASIO TU KUOA, BALI AWE AMEOA MKE MMOJA .......( hapa msiusianishe sheria ya dheheb moja ambalo maaskofu hawaoi).......

maandiko ya kitabu cha Timotheo, mtume alijua wazi kua kwa nyakat izo wapo watu waliooa wake wawili wawili ( kimataifa)..ila ndani ya Kanisa , ni MKE MMOJA.


nmeelewa ivo !!
Mjadala uishie hapa..umemaliza bro...la kwa kudokezea.....Biblia imenyofolewa nyofolewa sana...ila Neno la Mungu litabaki kuwa amri...
 
Ahsante, wewe unaelewa kama mimi. Ila cha ajabu naona lile ambalo Bwana Yesu alilikataza bila kupepesa macho tunalipuuza(watu wengi tu wanaachana na wanaoa na kuolewa tena) halafu lile ambalo halipo clear ndio tumelishikia bango kwelikweli
Shetani ni mjanja sana.Anafanya tuweke mkazo kwenye janbo ambalo sio tatizo huku tatizo kubwa zaidi likitulemea tumkosee Mungu
 
Back
Top Bottom