Ni kazi gani uliwahi kuifanya ukiwa umefulia ambayo leo ukiikumbuka unacheka tu?

Kazi ya daladala sitaki hata kuikumbuka kwakeli, na kushuka na 30 au 40 sio jambo la kushangaa ila ishu niza msimu, mara nyingi ni yale majira ya mwisho wa mwezi, ila kuanzia hapo niaumivu, na bahati mbaya nyingine sikua kondakta pengine ndio maana nilipata maumivu makubwa
Hela anapata mikoba(kondakta) mimi ilibidi niwe kimakakati sana. Ikifika saa 4 natoa buku 5 naweka kwenye kamfuko ka jeans kale kadogo. Saa 10 naweka tano tena. So jioni kwenye mgao wa posho nakuwa nmemtangulia dereva kwa 10,000. Nakama unavyojua kwenye mgao kondakta anapata kidogo na dereva anapata hela nyingi zaidi. Yaani kama baada ya kujaza mafuta na kutoa malengo ya boss mkabakiwa na 50,000 inamaana dereva 30,000 na kondakta 20.
Siku nzuri ilikuwa mkipata watu wa kukodisha kwenye harusi mnapata hela nyingi sana coz mnatumia mafuta kidogo,mnalipwa kibunda,mnapata msosi wa bure na ndio mnapata muda wa kulala sana.
Kipindi hicho ndio nilielewa thamani ya usingiz yaaani. Nalijizoelea mkoani kwetu kuamka saa 1 au 2 sikuwa kuelewa kwanini binadamu anaamka saa 10 alfajiri. Ilikuwa nikipata nafasi ya kulala aiseee nilichagua kulala kuliko kula
 
Ukipata muda wa kulala unakimbia Mwendo wa ngiri mkia juu
 
Nilifanyakazi ya ukondakta kwenye daladala bagamoyo to mwenge nikiwa na digrii yangu ya Marketing. Nakumbuka siku ya kwanza tumeamka saa 10 alfajiri picha linaanza vituo sivijui coz dar nilienda tu kutafuta kazi baada ya kumaliza chuo. Nikasota kama miez 8 hakuna cha maana nafanya ndio nikaamua kujiseti kwenye dala dala. Basi siku ya kwanza hiyo kuamka saa 10,piga kaz siku nzima umesimama coz ilikuwa tukienda bagamoyo na kurudi tunaanza kupiga mwenge tegeta nyuki jioni tunaiba ruti na kuvunja ruti.
Tukitoka mwenge tunaunga kawe,then kawe tunapakia kwanza tangi bovu wakienea level siti ndio tunaita tegeta. Hii ilikiwa inasaidia kupata hela nyingi,kipindi hicho kushuka na 30,000 ilikiwa kawaida. Sasa mziki ni ule uchovu wakeuniform chafu (ilibidi nishone za kwangu siku nikipumzka nashuka nazo),matusi ya abiria sasa ukiwa kanyaga kidogo (kuna siku asubuhi nmepakia watoto wa shule nursery kuna mmoja nikamkanyaga kidogo nikasikia mwenzake anasema achana na makonda hao hawana akili hata shule hawajasoma),
Kwenye kazi hii makondakta ndio wana afadhali, na asilimia kibwa ni wezi vibaya mno! Na hata ukifuatilia kwa ukaribu maisha ya dereva wa daladala na kondakta ni tofauti sana! Ile kazi ni kama imelaaniwa! Na bahati mbaya maboss hawawaelewi madereva kwa makosa ya kondakta.

Makondakta kila siku wanakimbia na pesa za watu, si hesabu si mafuta sio posho ni mtihani sana
 
Hela anapata mikoba(kondakta) mimi ilibidi niwe kimakakati sana. Ikifika saa 4 natoa buku 5 naweka kwenye kamfuko ka jeans kale kadogo. Saa 10 naweka tano tena. So jioni kwenye mgao wa posho nakuwa nmemtangulia dereva kwa 10,000. Nakama unavyojua kwenye mgao kondakta anapata kidogo na dereva anapata hela nyingi zaidi. Yaani kama baada ya kujaza mafuta na kutoa malengo ya boss mkabakiwa na 50,000 inamaana dereva 30,000 na kondakta 20.
Siku nzuri ilikuwa mkipata watu wa kukodisha kwenye harusi mnapata hela nyingi sana coz mnatumia mafuta kidogo,mnalipwa kibunda,mnapata msosi wa bure na ndio mnapata muda wa kulala sana.
Kipindi hicho ndio nilielewa thamani ya usingiz yaaani. Nalijizoelea mkoani kwetu kuamka saa 1 au 2 sikuwa kuelewa kwanini binadamu anaamka saa 10 alfajiri. Ilikuwa nikipata nafasi ya kulala aiseee nilichagua kulala kuliko kula
Huo mziki wa kuamka kabla raia hawajaamka na mda wa kupaki wewe unaenda kupaki, huku wale raia uliokua umeamka kabla yao nao wameshaenda kulala

Mara ya mwisho nimuambia boss, ukitaka niamshe hii gari unigee na kitabu chenye namba za simu za abiria, maana kuna muda unatafuta abiria mpaka akili zina hama, inakubidi uwauze hata wale uliokua nao ukaanze upya

Abiria wengine wanadharau balaa wanaona wanaofanya ile kazi ni kama walisha potea humu duniani, kua hawana wanalolijua chini ya jua na wamesha feli kimaisha, pyschology hii ilikua inaniumiza sana, mtu kunichukulia anavyojisikia yeye

Kingine kilichokua kinanitatiza, ukichukua gari ya hesabu 100,000 na ukichukua gari ya hesabu 90,000 au 80,000 au 70,000 utashangaa posho ni ilele, hapo ndipo ninapochokaga
 
Tulienda kuiba vifaa vya ujenzi kwenye kampuni ya ujenzi..
Hakuna siku nilikuwa natetemeka km siku hiyoo..baridi kali ya usiku lakini nilikuwa nasweat balaaaa..
Tulifanikiwa tukapiga ela safii kbss.
Roho ya tamaa ya uwizi ikataka kuanza kuniandama.
Nikaikemea roho hiyo chafuu.
Wale wenzangu walinipa mchongo walipigwa shaba wawili wawili wengine walikuja kuiba kanisani wakasomewa ufunuo ni vichaa siku hizi
Ufunuo mstari wa ngapi jombaaa
 
1.Nilikuwa fundi vitu vya umeme wa kunjunga kwenye office ya mshkaji pale River side, sikustukiwa na wateja kwakuwa mshkaji alikuwepo muda wote, kuna siku akaniachia office akaenda kariakoo kufuata spare, akaja mteja na pasi yake ya Phillips regulator ilikuwa ngumu kidogo kwenye kuzungusha

Nikajitia bingwa nikaforce ikavunjika, nikapambana nikaifungua pasi nikaibana ile regulator na wire kisha nikairudishia. Mwenye pasi akakuta ndio namalizia.. Ile kutest kwenye umeme lilipiga bonge la shot, mimi kule pasi kule mteja mbio
Nikatimuliwa nisionekane tena pale jamaa akaingia hasara ya kulipa pasi

2. Kitaa kikawa kigumu mno. Siku moja nikatembea mpaka Mugabe Sinza, nikakuta mchina anafungua duka la dawa! Nikajifanya mimi mfamasia nikapata kazi
Kuna siku nimeachwa peke yangu akaja mdada mwanae ana pumu kali sana nikamwandikia dozi dokta uchwara mimi. Kumbe sikumpa ya pumu bali ya kushusha pressure.. Mtoto wa watu aliponea tundu la sindano kurudisha number.. Na siku hiyo ndio ilikuwa ya mwisho kuitwa dokta, nilitimuliwa kazi
Chai hii mbona imepoa sana jamaniq1q
 
.......Nimekumbuka kipindi tunavunja neno kuvunja wenzangu (wauza mitumba wana ni elewa) Tulikua tuna vunja ma balow ya mtumba na kupiga mnada Kwa ma pointer.......

.........Majumba ya Godoro Yana rushwa huku na Kule chap chap Mimi NDIO mkusanya pesa utajua hujui.......

.......Hapo ndipo niliweza kuiheshimu Kaz ya kondakta wa daladala tena iwe Incher milango miwili...

🥴😳😳😀😊😊🤓🤓
 
Kusaidia fundi ujenzi aiseee! Nilisulubika sana. Kuchanganya zege kupandisha tofali.
Malipo ni 7000/= per day ( from 7 am to 5:30pm)

Nilifanya kazi siku tatu nikaacha.
Nikarudi katika ufundi pikipiki.

Nikamwomba Mungu sana, hamadi! Nikapata kazi sehemu....!

Ujenzi ni kazi ngumu na yenye jasho kupita maelezo.
Hii kazi niliifanya morogoro kule mvua wilayani walikua wanajenga hospital ya wilaya dadeki kazi sikua na uzoefu nayo afu nasaidia mafundi watatu asee sitokaa nisahau huu msoto kila siku nikikua nasema kesho sirudi ila kukikucha nakaza roho nilikomaa hadi nikafikisha 400000 japo pesa nyingine nilidhurumiwa na jamaa anaitwa Benjamin.

Mi pale nilienda kwa lengo la kupata pesa ya kodi niliyokua nadaiwa pamoja na madeni.

Ila nilikua nashangaa majamaa yanavyopeana connection za kazi za ujenzi najiuliza hivi hawa jamaa wanapumzika lini.
 
1.Nilikuwa fundi vitu vya umeme wa kunjunga kwenye office ya mshkaji pale River side, sikustukiwa na wateja kwakuwa mshkaji alikuwepo muda wote, kuna siku akaniachia office akaenda kariakoo kufuata spare, akaja mteja na pasi yake ya Phillips regulator ilikuwa ngumu kidogo kwenye kuzungusha

Nikajitia bingwa nikaforce ikavunjika, nikapambana nikaifungua pasi nikaibana ile regulator na wire kisha nikairudishia. Mwenye pasi akakuta ndio namalizia.. Ile kutest kwenye umeme lilipiga bonge la shot, mimi kule pasi kule mteja mbio
Nikatimuliwa nisionekane tena pale jamaa akaingia hasara ya kulipa pasi

2. Kitaa kikawa kigumu mno. Siku moja nikatembea mpaka Mugabe Sinza, nikakuta mchina anafungua duka la dawa! Nikajifanya mimi mfamasia nikapata kazi
Kuna siku nimeachwa peke yangu akaja mdada mwanae ana pumu kali sana nikamwandikia dozi dokta uchwara mimi. Kumbe sikumpa ya pumu bali ya kushusha pressure.. Mtoto wa watu aliponea tundu la sindano kurudisha number.. Na siku hiyo ndio ilikuwa ya mwisho kuitwa dokta, nilitimuliwa kazi
 
Nilifanyakazi ya ukondakta kwenye daladala bagamoyo to mwenge nikiwa na digrii yangu ya Marketing. Nakumbuka siku ya kwanza tumeamka saa 10 alfajiri picha linaanza vituo sivijui coz dar nilienda tu kutafuta kazi baada ya kumaliza chuo. Nikasota kama miez 8 hakuna cha maana nafanya ndio nikaamua kujiseti kwenye dala dala. Basi siku ya kwanza hiyo kuamka saa 10,piga kaz siku nzima umesimama coz ilikuwa tukienda bagamoyo na kurudi tunaanza kupiga mwenge tegeta nyuki jioni tunaiba ruti na kuvunja ruti.
Tukitoka mwenge tunaunga kawe,then kawe tunapakia kwanza tangi bovu wakienea level siti ndio tunaita tegeta. Hii ilikiwa inasaidia kupata hela nyingi,kipindi hicho kushuka na 30,000 ilikiwa kawaida. Sasa mziki ni ule uchovu wakeuniform chafu (ilibidi nishone za kwangu siku nikipumzka nashuka nazo),matusi ya abiria sasa ukiwa kanyaga kidogo (kuna siku asubuhi nmepakia watoto wa shule nursery kuna mmoja nikamkanyaga kidogo nikasikia mwenzake anasema achana na makonda hao hawana akili hata shule hawajasoma),
 
Japo sijatoka kwenye msoto bado, ila mpaka sasa kazi za ajabu nilizofanya ni pamoja na kufyeka majani na kupalilia majani mbele ya nyumba za watu (kazi tembo mshahara sisimizi),kupakia tofali na kushusha kwenye site za wateja kutoka zinakotengenezwa (tofali moja kupakia na kushusha sh 40/= fu*kin job),kuchimba makaburi ,(kaburi moja 20000/= tupo wanne means tunagawana 5000/=)-hii nimefanya mara mbili mara ya mwisho nikadhulumiwa na wenzangu.
Daaah interesting story
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom