Binafsi iwa sipendi mtu aje na mpambe pembeni akija nae dawa ndo hiyo namega ili kesho ajuute kuja na mpambe kwenye mtoko.
Na bili pia unalipa mkuu? assume apo kuna kiti moto, ma heineken, ma redbull, maji,
I mean amekuja na wenzei watatu wanaanza kwanza na redbull kupata kasi kisha wanaingia kwen heineken wakati kiti moto inasubiriwa apo, ikija inaliwa kisha sasa ndo kazi inaanza upya wakati we unakula zako dafari lager?
kwa nini hawanywi katika rate hiyo hiyo na kinywaji icho wakiwa peke yao kama si kukomoana? manake ukimvizia siku akiwa peke yake anapeleka soda tu kwa machale au kama bia basi ni za kawaida!
sio ustaarab kabisa mkuu
hee jamani hao wanawake wenu ni wa wapi? mwanamke mwenye kujiheshimu hana hizo, kwani anaenda hapo hana hata 10 mfukoni?
Na bili pia unalipa mkuu? assume apo kuna kiti moto, ma heineken, ma redbull, maji,
Yaani mzazi umelenga Ikulu kabisa mle mle wapambe iwa wanakunywa vitu vya bei kali alafu kiti moto mamaa anaaenda jikoni kuagiza kilo 2 na nusu kinywaji kipo katikatika anaitwa mhudumu zungusha kama tulivyo mzee iwa inauma sana tena mno hawa watu wanafanya sio ustaraabu kabisa.
hee jamani hao wanawake wenu ni wa wapi? mwanamke mwenye kujiheshimu hana hizo, kwani anaenda hapo hana hata 10 mfukoni?
Ila nikwambie kitu Fidel, kama bibie anakupenda hawezi kukufanyia hivyo yaani ukiona umeletewa lumbesa ujue kweli wewe ni kwenye listi ya atm..
Pole sana maana wewe unachunwa mara saluni tena hizo raundi jamani huruma..ha ha
kuna demu mmoja juzkat ananipigia simu eti yuko mitaa ya home vp tuonane?, si nikaona Yes naenda kummega, nikajitwin napiga hatua kama kumi ananiambia eti yuko buffalo na rafiki yake, aaaaarrrrrgh hapo hapo nikazima simu nikapitia kilimani pale kupoza koo alone.
demu mwenyewe anagonga miller kama hana akili nzuri.!
Hehehehe mzee ungemwambia njoo kilimani peke yako sasa pale kuna mjengo pale? Si ungeenda kwa Msuguli pale au ungevuta mpaka Mbezi mzazi.
Hahahaha yeah wazo zuri sana hilo wale wapambe wasingeweza kujilipia nauli mpaka Kibaha au Kibamba pale.
Sasa utapimaje kama anakupenda swity?
Maana ukiangalia na yeye anajifanya ndo anakufeel sana mmekaa zenu pale Meeda mmezungukwa na wapambe kama wa 3 hivi yeye muda wote kwangu makiss moto moto mara aninyweshe kilaji mara atoe ulimi alambe na kung'ata sikio manjonjo kibao mara achezee ikulu dah yaani mtu mzima ndo unalowa unazidi kuteketeza ATM.
Yaani mzazi umelenga Ikulu kabisa mle mle wapambe iwa wanakunywa vitu vya bei kali alafu kiti moto mamaa anaaenda jikoni kuagiza kilo 2 na nusu kinywaji kipo katikatika anaitwa mhudumu zungusha kama tulivyo mzee iwa inauma sana tena mno hawa watu wanafanya sio ustaraabu kabisa.
Kwanini usiwe straight forward, hata wakikuona mkatili safi tu ili tabia ikome!..Tatizo lenu baadhi ya wanaume mnaendekeza hili ndo mana na mabinti wanazoea. Au labla ya kukutana unamwambia kuwa asije na rafiki zake, huna pesa za kuwagharamia..