Kulekule kwa Dinahicious wa Bongoradio.Mwaka huu ulipoanza nilipata mchumba ambaye wakati tunakutana mimi nilikuwa nimeajiriwa na yeye akiwa bado so unakuta tulipokuwa tunatoka out I had to share cost with him ili asijione ni mzigo kwake. Mchumba kwangu namwona ni mtu wa ajabu maana anaweza akaniita sehemu na kuagiza vitu na bill inapokuja ananirushia mpira mwanzo nilidhani kwa sababu hana kazi but now amepata kazi lakini bado anafanya the same.
Kama juzi tulitoka na rafiki zake bill ilipokuja akalipa chakula na kunirushia mpira bill ya vinywaji, kisa alijua siku hiyo nimepata pesa Ofisini. Kwa shingo upande nikatoa ma kulipia vinywaji. Aunt hii sio mara ya kwanza there are time nilifiwa na ilinibidi kusafiri kwenda nyumbani (Kijijini) wakati msiba umetokwa ilikuwa kama 3 days before birthday yake.
Niliporudi kama 2 dayz baada ya siku yake huyu Mchumba akawa ananikumbushia zawadi yake bila hata huruma kwamba nilitumia pesa kusafiri kwenye msiba tena wala yeye hakunipa hata shilingi kwa ajili ya safari.
Jamani eti hii ni kawaida au huyu wangu kazidi?
Kwanza nampa pole huyo dada,nionavyo huyo jamaa anamchuna dada wa watu,kwa sababu haingii akilini wewe Fidel80 uniite mahali nikifika hapo linapokuja swala la bill nilipe au tugawane wakati ni wewe ndo umeniita.
...Wapiiii?? mbona akichunwa mwanaume watu mnatulia tu? Kuna wanawake uki-date nae anakuja na rafiki zake na siku hiyo wanajifanya matawi ya juu wakiagiza u-drink eti Haeniken au Windhoek na Kuku bill ikiletwa utasikia mpe mzee halafu wanabonyezana waone utachemka au vipi??? Dada hiyo ni sawa kabisa ndio mapinduzi hayo!!!Hahahaha jamaa fikra zake kichwani ni kumkamua tu demu wake.
Kwa nini tusiadapt utaratibu wa kuwa kama tukiitana baa kila mtu analipia alichotumia ili kukata mzizi wa fitna. kwa hiyo inakuwa Lipa Kadiri Ulivotumia (LIKAU)
mie clipi, umeniita wewe gharamika wewe!....huyu baadae wakifanikiwa kuoana hata ndani kila kitu kitamuhusu, mwanaume unavyompeleka ndivyo anavyozoea.....kazi kubwa mbeleni...
mie clipi, umeniita wewe gharamika wewe!....huyu baadae wakifanikiwa kuoana hata ndani kila kitu kitamuhusu, mwanaume unavyompeleka ndivyo anavyozoea.....kazi kubwa mbeleni...
Tatizo Msindima mkuitwa maeneo mnakuja na wapambe kama 2 hivi alafu mimi salio langu F lazima hapo tushare cost. Yeah ukipata mnyonge na wewe unamtumia mbona mimi nilikuwa nakamuliwa 70,000/= kwa wiki mlinicheka sana sasa na huyu yamemkuta.
woke woke, weekend wapi mrs mi ndo nakutoa...sema mwenyewe..tuanzie kwenye mtura, kisha kidogo soweto afu tukamalizie na dansi,,,,eh lakini na matongee napo hatujapapitiamuda muda..kila kitu leo mimi kuanzia wesevinywaji na nyamchom