mpinga shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,234
- 963
Membe kabisa awe rais? Kuweni serious
Kwa mawazo yangu ni kati ya Pinda au Membe ndiyo watakuwa raisi wa Tanzania. Upinzani bado kama miaka 5 au kumi hivi kupata nguvu ya kushida. Wagombea wengine wa CCM wana kashfa nyingi na zitawapotezea sifa. Najua kuwa watu wasiowapenda hawa lakini ndiyo ukweli. Nimeona hadi lowassa kuamua kugombea tena ubunge ni ishara tosha
Membe OUT=anakaripio la kukosa maadili toka kamati ya Usalama na maadili ya ccm
Membe OUT=anakaripio la kukosa maadili toka kamati ya Usalama na maadili ya ccm
Na yeye alifukuzwa upadri kama Dr Slaa