Kwa mawazo yangu ni kati ya Pinda au Membe ndiyo watakuwa raisi wa Tanzania. Upinzani bado kama miaka 5 au kumi hivi kupata nguvu ya kushida. Wagombea wengine wa CCM wana kashfa nyingi na zitawapotezea sifa. Najua kuwa watu wasiowapenda hawa lakini ndiyo ukweli. Nimeona hadi lowassa kuamua kugombea tena ubunge ni ishara tosha