Ni kampuni ipi bora ya uchapishaji vitabu?

Feb 15, 2013
64
109
Habari zenu wana JF?

Nakuja mbele zenu kuomba msaada kwa ambao washawahi kupublish vitabu au wana uelewa juu ya kampuni zipi hapa Tanzania ambazo ni nzuri kwa kuchapisha vitabu.

Kuna Serengeti Bytes, Mkuki na Nyota Publishers na wengine wengi ila sijajua yupi anafanya kazi kwa ubora zaidi.

Naomba kuwakilisha
 
Nami nasubiri majibu hapa kwa sababu hii ishu inanihusu sana.

Mkuki na Nyota wanachapa vitabu vyenye ubora sana kuanzia mwonekano wake wa nje na ndani. Hata kitabu kiwe kikubwa namna gani hakisambaratiki ukikifungua ila nahisi na gharama zao zitakuwa juu pia.

Mlioko kwenye sekta hiyo pulizi leteni uzoefu
 
E & D Vision Publishers (http://vitabu.edvisionpublishing.co.tz/) ni moja ya wachapishaji bora kabisa Tanzania. Wamechapisha kitabu bora kabisa cha hadithi za watoto kiitwacho Maandamano ya Serengeti, http://vitabu.edvisionpublishing.co.tz/?s=serengeti&post_type=product

Maandamano-rotated.jpg
 
Nami nasubiri majibu hapa kwa sababu hii ishu inanihusu sana.

Mkuki na Nyota wanachapa vitabu vyenye ubora sana kuanzia mwonekano wake wa nje na ndani. Hata kitabu kiwe kikubwa namna gani hakisambaratiki ukikifungua ila nahisi na gharama zao zitakuwa juu pia.

Mlioko kwenye sekta hiyo pulizi leteni uzoefu
wanapatikana wapi?
 
Back
Top Bottom