Ni kampuni gani bora inaweza kunitengenezea vifungashio?

Ni kampuni gani bora inaweza kunitengenezea vifungashio?

father109

Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6
Reaction score
10
Habari wanajukwaa...

Ni kampun gan bora inaweza kunitengenezea vifungashio.
Vifungashio navyo hitaji ni vile ambavyo vipo katika mifuko ya bahasha.ndani inakuwa miwili miwili kama ilivyo kwenye mifuko ya cement.pia nahitaji vifungashio vilivyo ktk mfumo wa sulfate

pia nahitaji kampuni nziri itakayo nisaidia kutengeneza logo
 
Nenda OPIL Hapo jet ndo ofisi yao ilipo wana viwango vya kimataifa
 
Back
Top Bottom