erique
JF-Expert Member
- Apr 23, 2010
- 583
- 572
Wadau naomba msaada, hii TV yangu LG flat screen, ilidondoka kutoka juu ya kiti, sasa imefanya kama wino umevujia na karibu robo tatu ya screen haioneshi picha. Ni kaupande kadogo pembeni ndio picha inaonekana.Naomba kujua;
1. Hili tatizo linatengenezeka?
2. Wapi naweza pata fundi wa uhakika anaeweza nisaidi kutatua tatizo hili?
3. Gharama zake kwa wastani zaweza fikia kiasi gani?
Nimeambatanisha picha ili wataalamu humu waweze kujua model ya TV yenyewe.
Asante