mashishanga
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 611
- 429
Naomba kuuliza tcu wametoa tarehe yakuripot vyuo kwa wale wanaoingia mwaka wa kwanza degree
tarehe za kufungua vyuo haitoi tcu zinatoa vyuo husika wewe tembelea tovuti ya chuo ulichopangiwa kujua siku ya kufungua au subiri tcu watoe selectionNaomba kuuliza tcu wametoa tarehe yakuripot vyuo kwa wale wanaoingia mwaka wa kwanza degree
tcu awatoi tarehe ya kuripoti bali ni chuo usika utoa iyo taarifaNaomba kuuliza tcu wametoa tarehe yakuripot vyuo kwa wale wanaoingia mwaka wa kwanza degree