Ni kama vile NACTE wamefanya selection

Ni kama vile NACTE wamefanya selection

Yan wameniandikia katika profile admission status, pale chin result wait for the next selection, chin yake view chosen program, afu go to profile afu log out sa ndio nn hicho inamaana first selection ishatoka afu network yazingua sana
 
Wote tumeandikiwa wait for next selection ila profile zetu zina tofauti pia , kuna wengine pale chini kuna "go to profile, log out na view choosen programs" lakina kuna wengine pale chini kuna 'go to profile na log out, hakuna option ya view choosen programs' sasa hapo ndipo wanapozidi kutuchanganya...
hata mimi hawajanletea link ya ku view program
 
Wakuuu vp kuhusu majina ya waliochaguliwa kweny bodi ya mikopo yatatangazwa kabla au baada ya wanafunzi kwenda vyuoni naomba mrejesho pls?
 
Wakuu naona diploma holders selection tayari hebu chungulien profile zenu...

TAYARI NACTE WALITOA MAJINA KIMYA KIMYA WIKI ILIYOPITA KATIKA PROFILE.
WALIOCHAGULIWA WALIJULISHWA KOZI ZAO NA VYUO VYAO.

WALIOKOSA WALIPEWA NAFASI YA KUOMBA UPYA KOZI NYINGINE BILA MALIPO.

WALIOAMBIWA WASUBIRI BILA KUFANYA MABADILIKO AU KUOMBA UPYA KOZI NI WALIOOMBA KOZI YA UALIMU.

Yan wameniandikia katika profile admission status, pale chin result wait for the next selection, chin yake view chosen program, afu go to profile afu log out sa ndio nn hicho inamaana first selection ishatoka afu network yazingua sana
 
Wote tumeandikiwa wait for next selection ila profile zetu zina tofauti pia , kuna wengine pale chini kuna "go to profile, log out na view choosen programs" lakina kuna wengine pale chini kuna 'go to profile na log out, hakuna option ya view choosen programs' sasa hapo ndipo wanapozidi kutuchanganya...
Ipo hivi ukikuta go to the profile view chosen pragram and log out hapo ujue bado but ukikuta go to the profile and logout hapo uhakika
 
TAYARI NACTE WALITOA MAJINA KIMYA KIMYA WIKI ILIYOPITA KATIKA PROFILE.
WALIOCHAGULIWA WALIJULISHWA KOZI ZAO NA VYUO VYAO.

WALIOKOSA WALIPEWA NAFASI YA KUOMBA UPYA KOZI NYINGINE BILA MALIPO.

WALIOAMBIWA WASUBIRI BILA KUFANYA MABADILIKO AU KUOMBA UPYA KOZI NI WALIOOMBA KOZI YA UALIMU.
nadhan wewe unazungumzia walioomba kusoma diploma na certificates
 
Nan kasema kua ukikuta view program, go to profile and log out huyu bado hajachaguliwa au hiyo go to profile and logout uhakika ashachaguliwa tusijipe moyo tusubir tarehe yakurelease majina mana hakuna mwenye jibu LA uhakika kila mtu Ana guess tuu
 
TAYARI NACTE WALITOA MAJINA KIMYA KIMYA WIKI ILIYOPITA KATIKA PROFILE.
WALIOCHAGULIWA WALIJULISHWA KOZI ZAO NA VYUO VYAO.

WALIOKOSA WALIPEWA NAFASI YA KUOMBA UPYA KOZI NYINGINE BILA MALIPO.

WALIOAMBIWA WASUBIRI BILA KUFANYA MABADILIKO AU KUOMBA UPYA KOZI NI WALIOOMBA KOZI YA UALIMU.

Sio kweli!
 
Wait for next selection...
Tupunguze munkari naamini mambo yatajipa
 
Yaani kwanza hatukuona First Selection lakini tunaambiwa tusubiri Second Selection! Na haya mabadiliko ya Profile mara kwa mara yamekaa Kisiasa siasa sana.
 
Ila soon vilio vya kutotoa selection vitaish vitakuja vilio na huzuni kwa waliokosa
 
Mkuu ondoa shaka nahisi bado hawajamaliza selection maana karibia watu 20 niliowauliza profile zao zipoje zinaonyesha kama zako na yangu ikiwemo. Hata mim nilivyoona hilo neno "wait for next selection" nilijua wamenishaniacha ila walau kidogo napata matumain kuona weng wameandikiwa hivyo, tusubir tuone kiongoz
Mimi pia wameniandikia hivyo
 
Back
Top Bottom