ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 45,426
- 52,369
Changamoto ndogo ndogo ni zipi na kubwa kubwa ni zipi ?Kama "changamoto ndogondogo" mmeshindwa kuzitatua miaka 60 sasa, ni kazi gani hiyo mnayochapa? Watu sio wajinga kiasi hicho mnachodhani..