Ni kama nchi imesimama, hakuna kinachoendelea

Nani amekwambia anakataa kuelekezwa? Magufuli ni mtu anaekubali ushauri wa kila mtu ata wale waliomsusia hotuba anasikiliza sana ushauri wao. Tatizo mnalishana sana Matango pori baba wa familia tu anaomba ushauri kwa rafiki zake wazazi wake jinsi yakuongoza familia yake sembuse kuongoza Taifa? au kwakua UKUTA haupo ndomana unaongea hivyo?
 
Kwa hiyo wewe ndio unajiona "umekwenda shule", sio?
sijaenda shule sana ila elimu niliyoipata inanisidia maana najielewa najua jinsi ya kuchanganua mambo kwa kina wazazi wangu wanajivunia kuwa na kijana kama mimi mwanaume nae jua wajibu wangu katika familia na taifa kwa ujumla sina muda wa kumfurahisha mtukufu ili nipate kula.
 
Hivi unaweza kuendelea na safari ikiwa basi ulilopanda limesimama?
 
Haki ya Mungu naapa. Kama Mimi ningekuwa mkuu wa nchi hii Leo. Kwanza ningetimua washauri wangu karibu wote. Ningemuita Lowasa, Mbowe, Zito Lisu Mbatia Msigwa, Sugu, Lema.Mdee, Bulaya. Na wengine wote wenye mapenzi mema na hii nchi. Ningefanya nao kikao hata wiki nzima ili tukubaliane namna ya kutoka hapa pagumu tulipo.
 
Eti unajua jinsi ya kuchanganua mambo; kweli?
 
Ndi maana wewe sio mkuu wa nchi. Endelea kuota ndoto za alinacha.
 
Tatizo una nidhamu ya uoga na sifa ya mtoto wa kiume kwenye taifa si kuwa na nidhamu ya uoga amuka kumekucha futa tongotongo acha tabia ya kutumikishwa kifikra na wanaume wenzio kumbuka na wewe unawazazi unafikiri wanajisikiaje wanapoona kijana wao umekuwa mdananda au ndo zile maisha popote hata kazi ya kupiga domo kazi ni lini magufuri alishaurika na kuhusu ukuta usijari vijana wapo sawasawa wanasubiri tarehe tu.
 
MWAKA WA KWANZA UNAKATIKA HIVYO. ASALALEEEEEEEEEEEEEEEEE.
 
Ndi maana wewe sio mkuu wa nchi. Endelea kuota ndoto za alinacha.
Nyie endeleeni tu kumdanganya wachumia matumbo. Ila Kama ni maji sasa hivi ndiyo yamemfika shingoni. Wenye akili na wanaojitambua ndiwo wanajua kinachoendelea.
 
Ndi maana wewe sio mkuu wa nchi. Endelea kuota ndoto za alinacha.
napatwa na hofu juu ya malezi yako rudi kijijini acheni biashara za utapeli mjini habari za kuamini ipo siku utarudi na utajiri kijijini sahau wazazi wenu huku kijijini tabu wanazo pata ndo zinachangia nyie kutokufanikiwa ukuzaliwa ili uwe mpambe wa wanaume inauma sana kumbuka familia si tumbo lako pekee hata kama unawatoto kumbuka ule usemi mtoto wa mwezio ni wako ili taifa ni letu sote usiweke njaa zako mbele mbele ukazani nchii hii upo pekee yako
 
Kulingana na andiko lako naona wewe ndio umekwama kifikra, Maana kila ukifikiri unarudi apoapo. Kilasiku kuilaumu serikali tu sasa mbona dunian karibu serikali zote zinaendeshwa na wanasiasa. Lakini mipango yote inapangwa na wataalamu serikali kaziyake ni utekelezaji. Alafu karibu sehemu kubwa dunian yenye Maendeleo ya viwanda haviku jengwa na serikakali ni sekta binafsi. Inachotakiwa serikali ni kuandaa Mazingira mazuri kama miundombinu ya maji, umeme , barabara na kuondoa urasimu katika kupata vibali mbalimbali kwa wawekezaji na kwasasa ndio kinacho fanyika. Tuache kufikiri kisiasasiasa tutaona kinacho fanyika, ila tukifikiri ki UKUTA huwezi kuona maana Macho na fikra yamezuiwa na UKUTA.
 
Binafsi, naona umeandika jambo moja tu la msingi hapa Kuwa madaktari kusumbuliwa na wakuu wa wilaya au mkoa au kiongozi yeyote siyo sahihi, maana taaluma ya afya siyo ya kuchezea hata nukta katika nchi kama hizi zetu ambazo bado magonjwa na tiba ni changamoto kubwa kwa watu wengi.

Ila viwanda siyo kama uyoga au mchicha au kuku za kichina serikali iliyo madarakani imeleta mikakati yake hivyo itatekeleza kwa awamu.

Mfano, kumbuka kuwa, hakuna kifaa hata kimoja unacho kiona duniani hapa kimetengenezwa kwa siku moja na kuwa bora, au kutumiwa ila pana majaribio na tafiti nyingi sana zinafanyika kabla ya kuletwa sokoni au kuanza kutumika hivyo subiri viwanda vitakuja kwa awamu na siyo kama unalala unakuta viwanda vipo mahala fulani.

Kwa kifupi, tumia hiyo fursa ya bei ya nyanya kuwa ndogo kuuza kachumbari au tomato sosi pana wajasiliamali wengi wanatengeneza wao watafaidika sasa kaa hapo na kulialia utabakia hivyo siku zote kuilalamikia serikali.

Unapaswa uwe kama mtoto wa swala akizaliwa sekunde iyo hiyo anatimua mbio kali ... haaa haaaa naamini umeelewa Mkuu.

Asanteni.
 
Mbona unapatwa na mchecheto?
 
Mbona unapatwa na mchecheto?
Unajitekenya pole sana ukulazimishwa kuwa kibaraka inabidi uendelee kukinga kifua maana njaa zako ndo zinazo kuponza haya maisha ya kuwa kibaraka wa vidume umechagua mwenyewe kazi ni kwako kufa ukiwa mtumwa wa fikra au uamke maana bado mapema
 
Unajitekenya pole sana ukulazimishwa kuwa kibaraka inabidi uendelee kukinga kifua maana njaa zako ndo zinazo kuponza haya maisha ya kuwa kibaraka wa vidume umechagua mwenyewe kazi ni kwako kufa ukiwa mtumwa wa fikra au uamke maana bado mapema
Mbona wewe mwenyewe ni kibaraka; tena mkubwa sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…