ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
uwezo upi wa wewe kutumia viungo ulivyopewa na Mungu kutenda dhambi na kuja hapa kujisifu na kujitangaza?
mkuu Tized mimi huwa napata faraja kujua kuwa angalau kati ya wanadamu wa sasa kuna watu wenye utu na wanaoyaona mabaya na kuyachukia kama ninyi nafarijika sana maanake hali kwa sasa inasikitisha aisee Mungu tu mwenyewe atunusuru..
mkuu bora umsaidie mdiogo wako yaelekea ameshapoteza dira haoni wala hasikii chochote yeye anaona fahari tu kujisifia maujinga yasiyofaa na yasiyopendeza hapa msaidie kuutoa huo u:wave: wake
Badala ya kuniombea mamdo yaende vizuri
ili upate tenda ya Kwa anayehitaji huduma hizi:
* Kutengenezewa Keki * Wedding cards design
* Mc & hall/open space decoration- KARIBU
Wala Mkuu... Mi sio mmoja wapo ila najitahidi kuyaishi maisha nayopaswa kuishi.
Naamini mimi ndio Bosi pekee wa tamaa zangu.. na huu mwili nimepewa mamlaka yote juu yake.
Naamini Pia sio lazima nifanye kila kitu kwa kuwa kila mtu anakifanya.
Naamini mimi ni wa kipekee na sihitaji kufanana na yeyote kwa kuwa mungu kamleta kila mtu duniani kwa kusudi lake. Naamini pia sihitaji kupendwa na watu kwa kuwa nafanya maovu wapendao wao maana ninawajibika kwa binafsi yangu kwa kila nachokifanya au kukisema chini ya anga na juu ya anga naloliona.
Naamini Mimi sio wa muhimu zaidi ya mwingine lakini pia sio dhaifu zaidi ya mwingi ila ni wa thamani sana niliyekombolewa pia kwa uthamani.
Nakubali pia mimi ni mshamba, old fashioned, sijui kila kitu.
Najua hupendi kusifiwa hata kidogo you once said that Tized but one thing i want to say i love that attitude of yours and it makes me happy knowing that there are still people who hate badness in this wicked world keep it up mkuu.
siwezi kufanya upuuzi huo ndugu yangu yakufaa ujisalimieshe maisha yako upya na uvae utu upya acha mambo ya dhambi hayafai mdogo wangu yanakuangamiza bure
Hahahaaa.. ngono zembe sio?
Nakupa scenario moja:
Mtu ametumia Condom, sawa? lakini before hio kondom... amefanya romance la nguvu... na fore plays zote uzijuazo na usizozijua? Ni nini nafasi ya condom kuzuia maambukizi kama mmoja wapo amesababisha mchuboko au ana kidonda sugu au hata amajingata au hata amejiumiza kkwa mswaki au pengine kuna pipele amekipasua sehemu gusanishi?
Chances are Condom itasaidia sehemu moja tu. kwingine vipi? is this still the best option?
Amenasa tayari... labda greda ndio litamuondoa huyu aisee!!
haya bana. umalaya huwa unanza kwa style hii....just the first day mna du..:A S 13: