benteke hope you know what you are saying!!!!!!!!!!!!kwa ufupi tu naomba nisizunguke sana ila nikwambie tu kuwa umepotea wala si jambo la fahari kujisifiia ujinga kama huo aint a deal men its useless na nionavyo mimi hakuna anyekuunga mkono katika wote waliotoa comments zao so shtuka ujione umekosea njia kupost kitu kama hii and mind you this tamaaaa mbele mauti nyuma:rip: :rip: :rip: kila la kheri kijana
....unajigamba kwa lipi hapo?unashangaza kweli ulipotoka nyumbani ulkuwa unaendawapi?unapagaishwa hivyo na msichana uliyekutana naye kwa bhati tu,huon udhaifu mkubwa sana...Mkuu ulikagonosha?
Sasa ulitakaje....mwenzako kapata kichwa ndo mana kakupa mchezo wa haja ili kesho urudi na kweli umenogewa.....na unataka kuchonga mzinga....
vibaya mno.Kanaitikia mashine kama Nissan kwenye gia namba moja.
so sad Tized ndo kizazi chetu hicho kujisifia kwa upuuzi mtupu afu akianza kujiharishia ndo aannza laiti ningejua when itsss too late nachukia sana vijana walio na attitude ya kuabudu ngono.
Ebu niambieni basi wake zenu kabla hamjawaoa mliwapataje. Si lazima ulitafuta. Na kutafuta mke unatafutaje sasa.
Ebu niambieni basi wake zenu kabla hamjawaoa mliwapataje. Si lazima ulitafuta. Na kutafuta mke unatafutaje sasa.
Kumbe Mke ndio huwa anatafutwa hivi? nimejifunza kitu kipya chini ya jua.
Badala ya kuniombea mamdo yaende vizuri
ili upate tenda ya Kwa anayehitaji huduma hizi:
* Kutengenezewa Keki * Wedding cards design
* Mc & hall/open space decoration- KARIBU
Kabisa Mkuu Blue G.
Hali ni mbaya sana kwa sasa. ngono, ulevi na kamari ndio unaoonekana kama ndio fasheni ya leo. Usipokuwa hivyo unaonekana old fasioned.
Ona trick ilivyo... Yaani aliepotea anamuona aliyesimama kama kapitwa na wakati... afu huyu aliye kwenye njia sahihi anaacha njia yake anamfuata aliyepote ili asionekane mshamba.... VERY POOR THINKING.
Wanaofanya ujinga ujinga ndio wanatukuzwa.. wanaotenda hali ndio wanadhihakiwa.. yaani imepinduliwa kabisa
..................tena cha kushangaza!!!!!!!!!!naomba nimalizie hivyo!!!!!!!!!!!!!!
Kabisa Mkuu Blue G.
Hali ni mbaya sana kwa sasa. ngono, ulevi na kamari ndio unaoonekana kama ndio fasheni ya leo. Usipokuwa hivyo unaonekana old fasioned.
Ona trick ilivyo... Yaani aliepotea anamuona aliyesimama kama kapitwa na wakati... afu huyu aliye kwenye njia sahihi anaacha njia yake anamfuata aliyepote ili asionekane mshamba.... VERY POOR THINKING.
Wanaofanya ujinga ujinga ndio wanatukuzwa.. wanaotenda hali ndio wanadhihakiwa.. yaani imepinduliwa kabisa
Mungu hapendi pia wanafiki. Sijatangaza ubaya nimetangaza sifa na uwezo wa Muumba.
mkuu Tized mimi huwa napata faraja kujua kuwa angalau kati ya wanadamu wa sasa kuna watu wenye utu na wanaoyaona mabaya na kuyachukia kama ninyi nafarijika sana maanake hali kwa sasa inasikitisha aisee Mungu tu mwenyewe atunusuru..
Aisee, sio ajabu viajana wengi ni mashoga siku izi. Wanabanwa sana na wazazi.