feis buku JF-Expert Member Joined Aug 29, 2011 Posts 2,341 Reaction score 677 Oct 24, 2011 #2 mmh! jamani kweli wenzetu hamnazo!
DASA JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 1,031 Reaction score 302 Oct 24, 2011 #3 Dah! hiiyo imetulia!, i hope konda yupo na watu watakuwa wanagombania kuingia na wengine kupitia madirishani.
Dah! hiiyo imetulia!, i hope konda yupo na watu watakuwa wanagombania kuingia na wengine kupitia madirishani.
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,550 Oct 24, 2011 #4 nimeipenda hiyo,hata kwetu zipohzo
MduduWashawasha JF-Expert Member Joined Mar 5, 2008 Posts 1,653 Reaction score 605 Oct 24, 2011 #5 asante Adobe Photoshop
Cantalisia JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 5,221 Reaction score 2,930 Oct 24, 2011 #6 Duuu1asa kwenye zile bamsi za angani watabaki kweli sijaona chuma ya kushilikia!!
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,731 Oct 24, 2011 #7 hahahahahahahahah
Mbaha JF-Expert Member Joined Nov 26, 2010 Posts 697 Reaction score 74 Oct 24, 2011 #9 Ahh!!! Wapiiii!!!!!!
chapaa JF-Expert Member Joined Feb 19, 2008 Posts 2,349 Reaction score 206 Oct 25, 2011 #10 Roho wameziweka rehani
UmkhontoweSizwe Platinum Member Joined Dec 19, 2008 Posts 10,046 Reaction score 9,344 Oct 25, 2011 #11 Ingekuwa kweli ingeingia kwenye kitabu cha ginesi.
happiness win JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 2,461 Reaction score 1,394 Oct 25, 2011 #12 Picha ya ndotoni inanoga sana.
MGAWARIZIKI JF-Expert Member Joined Dec 16, 2010 Posts 305 Reaction score 48 Oct 25, 2011 #13 Ni photo shop hiyo, hilo pipa likishapaa angani hakuna atakayebaki watapeperushwa na upepo kama karatasi
Ni photo shop hiyo, hilo pipa likishapaa angani hakuna atakayebaki watapeperushwa na upepo kama karatasi
V valid statement JF-Expert Member Joined Sep 18, 2011 Posts 2,855 Reaction score 895 Oct 25, 2011 #14 chapaa said: Roho wameziweka rehani Click to expand... wengine hawaogopi kufa mapema. Na hawafagi mapema pia.
chapaa said: Roho wameziweka rehani Click to expand... wengine hawaogopi kufa mapema. Na hawafagi mapema pia.
Mwanyasi JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,955 Reaction score 7,113 Oct 26, 2011 #15 Hii inaenda mbagala?
Jeji JF-Expert Member Joined Jun 28, 2011 Posts 1,973 Reaction score 372 Oct 26, 2011 #16 asante kwa kunifanya nicheke leo.
BUBE JF-Expert Member Joined Nov 9, 2010 Posts 845 Reaction score 254 Oct 26, 2011 #17 MKUU MIMI MZEE WA MBAGALA....but humo Dar city hakuna eneo hata moja wasilopitia dirishani, but Mbagala ndo tulianzisha wengine wakaiga! Inaelekea Mbagala wabunifu.... Teheh teee theheeh Mwanyasi said: Hii inaenda mbagala? Click to expand...
MKUU MIMI MZEE WA MBAGALA....but humo Dar city hakuna eneo hata moja wasilopitia dirishani, but Mbagala ndo tulianzisha wengine wakaiga! Inaelekea Mbagala wabunifu.... Teheh teee theheeh Mwanyasi said: Hii inaenda mbagala? Click to expand...