Lengo kuu la jeshi la police ni kulinda raia na Mali zao! Sasa hv jeshi la police limekuwa jeshi la ujasiliamali, mama hongera sana majukumu ya jeshi la police unayatimiza mwenyewe![e/QUOTE]
Hahahahaaa jeshi letu la polisi limeacha majukumu yake ya asili limegeukia dili la upagazi wa mabox ya kura na kubandika matokeo ya chaguzi za serikali za mitaa! Sijui wanalipwa bei gani maskini...!!!?