Joni ukelu si mganda ni Mkenya kama sikosei ,na hakuwa kitu chochote isipokuwa alivishwa kilemba cha ukoka na kutomezwa hayo mapinduzi hata baadhi ya vijana wa kiarabu walishiriki kivyao ,kilichopinduliwa si muarabu bali ni serikali huru iliyopokea uhuru ,japo Zanzibar haikuwahi kuwa koloni la Nchi yeyote ile,kwa ufupi pia napenda ufahamu ZANZIBAR haikuwahi kutawaliwa au kuwa koloni ,la muingereza,mreno mjerumani au mualabu ni tofauti na huo upande wa pili !

J.Okello alikuwa anapiigania nini?
Kwani muasisi mpk ashike bunduki? Nyerere anaitwa mwanamapinduzi ameshika bunduki wpHeko FM J.G.Okello kwa kuwa mwanamapinduzi uliyefanikisha mapinduzi matukufu ya Zanzibar.
Nimesikitishwa na Rais wa Zanzibar kumtaja Amri Abeid Karume kama muasisi wa mapinduzi hayo wakati alikuwa Tanganyika pindi mapinduzi hayo yanafanyika!
Kwa kweli nimesikitishwa sana na upotoshaji huu wa hali ya juu!
John F. Okello si Mkenya ni kutoka Uganda.Joni ukelu si mganda ni Mkenya kama sikosei ,na hakuwa kitu chochote isipokuwa alivishwa kilemba cha ukoka na kutomezwa hayo mapinduzi hata baadhi ya vijana wa kiarabu walishiriki kivyao ,kilichopinduliwa si muarabu bali ni serikali huru iliyopokea uhuru ,japo Zanzibar haikuwahi kuwa koloni la Nchi yeyote ile,kwa ufupi pia napenda ufahamu ZANZIBAR haikuwahi kutawaliwa au kuwa koloni ,la muingereza,mreno mjerumani au mualabu ni tofauti na huo upande wa pili !
Na wewe historia yako ina mapungufu vile vile! Uingereza haikupewa Zanzibar kwenye mkutano wa Berlin. Leo hii huu mtafaruku wa Ziwa Nyasa moja ya visababishi ni hiyo Zanzibar!Haujui historia, najua hukuwepo ila unapaswa usome historia
Zanzibar ilipewa Muingereza katika mkutano wa Berlin mwaka 1884 - 1885
Kama ni vitabu vya shuleni basi ni historia ya kupika hiyo!!! Official history ya Tanzania imepikwa sana hadi inatia kichefuchefu!!!Ukitaka kupata historia sahihi ya zanzibar kuna kitabu kinaitwa short history of Tanganyika kwa tuliosoma zamani kuanzia book five, six,seven na eight utayapata yote