Invigilator
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 3,207
- 5,990
Duuh kumbe ni mziki mzito sanaNenda British council, lipia ile tution yao ya English ata ya 3 months, hafu ndio lipia pepa. Hapo utapita.
Me nilikutupuka kulipia tu Pepa nikaishia 5 qmmk nikajua English nyoko.
Hapana labda mzee Upo vizuri lakini aisee ile lugha tuyaoongea sisi huku makazini sio Kiingereza.Duuh kumbe ni mziki mzito sana
Hahahaha eti lugha tunayoongea sio kingereza.Hapana labda mzee Upo vizuri lakini aisee ile lugha tuyaoongea sisi huku makazini sio Kiingereza.
Mkuu nimepewa option ya kufanya Duolingo,nitafanya hiyo,si ngumu kama IELTS na ina bei nafuu USD 49 tu.Umefikia hatua ipi mtoa mada?
Hapana labda mzee Upo vizuri lakini aisee ile lugha tuyaoongea sisi huku makazini sio Kiingereza.
Hiyo Duolingo ndo inakuwaje? Na je inapokelewa nchi zote kubwa?Nategemea mwezi ujao nifanye hiyo mitihani yao ya IELTS,Mkuu nimepewa option ya kufanya Duolingo,nitafanya hiyo,si ngumu kama IELTS na ina bei nafuu USD 49 tu.
Ni vyema uulize kwanza kama inakubalika mahali unapotaka kwenda.Hiyo Duolingo ndo inakuwaje? Na je inapokelewa nchi zote kubwa?Nategemea mwezi ujao nifanye hiyo mitihani yao ya IELTS,
Sawasawa shukrani sanaNi vyema uulize kwanza kama inakubalika mahali unapotaka kwenda.
Kadai pesa yako haiwezekani wakufelishe mzalendoNenda British council, lipia ile tution yao ya English ata ya 3 months, hafu ndio lipia pepa. Hapo utapita.
Me nilikutupuka kulipia tu Pepa nikaishia 5 qmmk nikajua English nyoko.
Kuna nchi hazihitaji hiki cheti (Kwao sio mandatory)Wakuu salam;
Nina mpango wa kujiendeleza kielimu nje ya nchi,miongoni mwa vyuo vingi ambavyo nimekuwa nikituma maombi wanahitaji pia cheti ya kuthibitisha ujuzi wa lugha ya kingereza yaani IELTS au TOEFL.
Hivyo nimedhamiria kufanya IELTS mwishoni mwa mwezi huu,nilikuwa naomba kwa yeyote mwenye ujuzi na ufahamu anisaidie kujua yafuatayo.
1.Upo uwezekano wa kufanikiwa kupata score band ya 7.5?.
2.Ugumu wa mitihani hii uko vipi?.na jinsi gani naweza kujiandaa nikafaulu vizuri.
3.Nawezaje kupata papers na materials ya ziada?.
Natanguliza shukran.
Kuna nchi hazihitaji hiki cheti (Kwao sio mandatory)
Azerbaijan, Mauritius, China, Hungary, na kwengine kwingi tu.
Acha kupoteza muda na hicho cheti.
Binafsi nimepata scholarship ya PhD bila kuwa na hicho cheti.
Japo kwenye application walisema "Attach" ila kwao haikuwa mandatory.
Wao wanachotaka Elimu yako ya Degree uwe umesoma kwa Kingereza. Na proof ni vyeti vyako unavyo vi-attach
#YNWA
Nili apply Hungary na haikuwa ulazimaInategemea hungarywanahitaji
Kwa hizo nchi ambazo sio official language kwao hawataki.isitoshe sisi sio km kenyaEnglish sio official language
Inategemea hungarywanahitaji , isitoshe sisi sio km kenyaEnglish sio official language