Ni jinsi gani naweza kumtafuta mtu alipo ikiwa ninachojua ni jina lake tu?

zeromagic

Senior Member
Sep 14, 2016
186
67
Habari,

Kuna ndugu yangu katapeliwa na rafiki yake pesa. Huyo rafiki yake alikua china na alitumiwa pesa ili amnunulie bidhaa huko China. Lakini hata baada ya kurudi kutoka China, jamaa akawa anamzungusha, hadi sasa jamaa hapatikani WhatsApp (maana alikua anatumia namba za China)

Hatujui jamaa anapokaa, tunachojua tu ni kwamba amerudi Tanzania. Sasa nauliza ni njia gani tunaweza kumpata jamaa ikiwa hatujui hata anapokaa, hatuna namba zake zingine zaidi ya zile za China ambazo hazipatikani, namba zake za zamani zilishafungwa maana hazikusajiliwa na NIDA, social media hapatikani.

Naomba msaada kwa anayejua ni jinsi gani tunaweza kumpata huyu jamaa, tunachokijua ni majina yake tu.
 
Mlimjua kwa jina gani?
Facebook au social media aliyokuwa anatumia alikuwa anatumia jina gani?
Kama Ni Facebook angali marafiki zake walio wahi kucoment kwenye picha zake wafate private alafu anzia hapo.

namjulia kitaa
hayupo facebook
 
alikuwa anatumia social media ipi? kuna baadhi ni rahisi kumtafuta mtu, Mimi niliweza kumpata mjinga mmoja hivi alikula nauli yangu,akaingia mitini.

yaan nilikua naongea nae wasap tu
kwa namba ya kichina
 
Unaweza kuta yupo fb messenger anachat kwa Siri.lakini kama una majina yake nenda bank zote block account zake kisheria atakuja mbio au nenda pia TRA cheki TIN number zake za biashara anazolipia utampata faster lazima amesajili nyumba au gari au kampuni
 
Nimeguswa sana kwamba wote hapa hakuna aliyeshauri kwa waganga isipokuwa de cartes kidogo hongereni sana great thinkers!
Habari,

Kuna ndugu yangu katapeliwa na rafiki yake pesa. Huyo rafiki yake alikua china na alitumiwa pesa ili amnunulie bidhaa huko China. Lakini hata baada ya kurudi kutoka China, jamaa akawa anamzungusha, hadi sasa jamaa hapatikani WhatsApp (maana alikua anatumia namba za China)

Hatujui jamaa anapokaa, tunachojua tu ni kwamba amerudi Tanzania. Sasa nauliza ni njia gani tunaweza kumpata jamaa ikiwa hatujui hata anapokaa, hatuna namba zake zingine zaidi ya zile za China ambazo hazipatikani, namba zake za zamani zilishafungwa maana hazikusajiliwa na NIDA, social media hapatikani.

Naomba msaada kwa anayejua ni jinsi gani tunaweza kumpata huyu jamaa, tunachokijua ni majina yake tu.
alikuwa anatumia social media ipi? kuna baadhi ni rahisi kumtafuta mtu, Mimi niliweza kumpata mjinga mmoja hivi alikula nauli yangu,akaingia mitini.
Mlimjua kwa jina gani?
Facebook au social media aliyokuwa anatumia alikuwa anatumia jina gani?
Kama Ni Facebook angali marafiki zake walio wahi kucoment kwenye picha zake wafate private alafu anzia hapo.
yaani facebook yake haitumii
ina friends wachache sana, inaonekana haijawa active kwa mda mrefu
yaan nilikua naongea nae wasap tu
kwa namba ya kichina
Kwa kusali sana maana iyo hela usha tapeliwa
Hivi unamtumiaje mtu pesa akununulie mzigo ilihali hata office yake hujui ilipo?
hapo ngumu, Na hiyo pesa ulimtumia kwa njia gani?
Unaweza kuta yupo fb messenger anachat kwa Siri.lakini kama una majina yake nenda bank zote block account zake kisheria atakuja mbio au nenda pia TRA cheki TIN number zake za biashara anazolipia utampata faster lazima amesajili nyumba au gari au kampuni
 
Habari,

Kuna ndugu yangu katapeliwa na rafiki yake pesa. Huyo rafiki yake alikua china na alitumiwa pesa ili amnunulie bidhaa huko China. Lakini hata baada ya kurudi kutoka China, jamaa akawa anamzungusha, hadi sasa jamaa hapatikani WhatsApp (maana alikua anatumia namba za China)

Hatujui jamaa anapokaa, tunachojua tu ni kwamba amerudi Tanzania. Sasa nauliza ni njia gani tunaweza kumpata jamaa ikiwa hatujui hata anapokaa, hatuna namba zake zingine zaidi ya zile za China ambazo hazipatikani, namba zake za zamani zilishafungwa maana hazikusajiliwa na NIDA, social media hapatikani.

Naomba msaada kwa anayejua ni jinsi gani tunaweza kumpata huyu jamaa, tunachokijua ni majina yake tu.
Mkuu kampige kijini shoga tu...

Akiona wanaume anakata mauno.

Yaani katapeli halafu bado anakusumbuwa.

Ebooo!!!!

Atakutafuta mwenyewe.
 
Yuko kwenye Facebook?au ana rasta?nini starehe gani anapenda?hamkuwahi kukutana nae sehemu huku dar?
 
Back
Top Bottom