Ni jina gani linalokuvutia hapa jf

avatar39235_1.gif
nimependa jina la mwenye avatar
 
Utamruhus asherekee mwisho wa mwaka mwambie nina complementary yake ya kuingia RUNWAY..
Kumbe na wewe ni muzungu? Hii club naonaga wazungu wengi na mabraza men or watoto wa mama ndio wanakuwaiattend sana!
 
Hilo jina la ID yako iko poa,ila najiuliza ni jina halisi au alfabeti ziliunganishwa tu
 
George & Dragon je?
Uzuri unakuwa umelewa unajbu kizungu chochote kinachokuja

Kumbe na wewe ni muzungu? Hii club naonaga wazungu wengi na mabraza men or watoto wa mama ndio wanakuwaiattend sana!
 
Kumbe na wewe ni muzungu? Hii club naonaga wazungu wengi na mabraza men or watoto wa mama ndio wanakuwaiattend sana!
Hahahaha! Rejao watu pale wanapaogopa sana sijui kwanini aiseee nitafute banaa nikupe bata pale pale au kama vipi GEORGE & DRAGON...
 
Hilo jina la ID yako iko poa,ila najiuliza ni jina halisi au alfabeti ziliunganishwa tu
Hahah..hili ni jina halisi Excellent,
Jina lako ndio linanikumbusha zamanii nikiwa shule ya msingi! Madaftari yangu yote yalikuwa yamejaa ID yako kwenye kila zoezi!
 
Hahahaha! Rejao watu pale wanapaogopa sana sijui kwanini aiseee nitafute banaa nikupe bata pale pale au kama vipi GEORGE & DRAGON...
TF, sehemu za ukweli sana mimi huwa siendagi siku hizi! Sitaki kununua bia ya 5000 wakati kwa mangi naipata kwa 1600!! Nikitaka muziki nafungulia nyumbani kwa nguvu nacheza na my waif wangu!!
 
Hahah..hili ni jina halisi Excellent,
Jina lako ndio linanikumbusha zamanii nikiwa shule ya msingi! Madaftari yangu yote yalikuwa yamejaa ID yako kwenye kila zoezi!
Mi excellent nilikuwa najiandikia,mwalimu wa kujitegemea
 
TF, sehemu za ukweli sana mimi huwa siendagi siku hizi! Sitaki kununua bia ya 5000 wakati kwa mangi naipata kwa 1600!! Nikitaka muziki nafungulia nyumbani kwa nguvu nacheza na my waif wangu!!
Lol...Rejao si mara moja moja ukikutana na TF tunafanya kazi hiyo ya kutembelea sehemu hizo next time tuonane ukamuone Kongosho George & Dragon...
 
Back
Top Bottom