Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 47,197
- 32,678
Yaani wewe ulivyokuwa mtumwa wa Kiingereza upo radhi kukana Uchagga wako, wewe ukiona mtu kaongea lugha ya Kiingereza unaona ni msomi siku ukifika Uingereza utasema Uingereza nzima ni wasomi watupu mpaka watoto wadogo!! Teh teh teh tehkwa elimu yako ya vifuniko vya soda , ni ngumu kuelewa