Kaka Jambazi.....kakajambazi
Hahah dah haya nikumbushe kesho ni sikukuu gani vile??
born 2 be a hunter..., hakuna mJF kamanda wa hivyo, wote watoto wa mama tu.
Boxing day
Haya, nikumbushe
Nikukumbushe?
Eee nikumbushe
Kuna nini?
Aka....
miss neddy, ndio mimi mtoto wa mama kwa sana tu. Mama yangu alikuwa hataki hata kuona nachafuka na mavumbi hivyo. Kwenda polini kuwinda tena bila shati, no way mama asingeruhusu hiyo kitu, UPO HAPO?unataka kusema hadi wewe ni mtoto wa mama