Ni jambo/neno gani jipya?

mkagulu original

JF-Expert Member
Dec 30, 2013
703
172
Iwapo mtu aliyefariki mwaka 1980 akiamka unadhani ni neno/jambo gani litamshangaza?
eg smartphone, mpesa
tupiamo zingine
 
litakalomshangaza, ndilo litakuwa lililofanikiwa kumshangaza.
 
kwanza hatoyatamani tena haya maisha ya sasa,atajionea shida tupu!ila neno litalomshangaza ni jina la diamondplatnumz na mambo yake makubwa kwenye mziki kuliko umri wake!
 
Back
Top Bottom