BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 2,707
- 6,503
Binafisi tangu aingie mambo yamekuwa maguku sana kila kitu kimepaaa juu Sukari inachezea 4000/ mafuta hayashikiki,nauli zimepanda mara 2 ndani ya mwaka tu.Umeme ni mahangaiko tupu, Wafanya kazi wa Serikali full kiburi kwa sasa na Dharau juu na kuomba ruswa wazi wazi kabisa wanafanya mambo kuwa magumu zaidi.
Mama hakuna jambo hata moja la ahueni kwa raia kafanya zaidi ya kuongeza matatizo kwa raia, labda ahueni kwa Mafisadi hapo sawa.
Ujenzi wa vituo vya afya na Madarasa haliwezi kuwa jambo la ahueni hizo hata wakoloni walijenga tena imara kuliko vinavyo jengwa sasa.
Kuna vitu viko ndani ya uwezo wake hata kudhibiti tabia mbaya ya wafanyakazi wa umma huko maoffisini, hili nalo kashindwa? Huko maofisini ni full kero tupu kwa sasa. unaenda offisi ya Umma huku unawaza sijui watanijibu vipi.Hili kashindwa Mama? anahitaji IMF? au USAID?
Basi maisha yako juu sana bei ya mafuta ni juu, ila wape raia ahueni hata huko maofisini basi ili wapunguze machungu kidogo. Magu si kwamba aligawiwa raia pesa, ila kuna vitu vilikuwa vinawapa raia ahueni,mfano huko kwenye offisi za Umma.
Leo hii taasisi kama Brela ni shida tupu,huko TBS ndio balaa tupu,kwenye kutaka lesseni ya Biashara ndio utachoka zaidi, TRA ndio mwisho wa reli, Haya kwamba na yenyewe Raisi hayawezi?
Yes kuna External factor zinafanya maisha yawe juu ila haya mengine ya ndani nayo Raisi kashindwa?