Mheshimiwa mwana Jamvi,
Swali lako ni zuri na la kitaalam wengine wanalirukia tu kama vile vile nyani alivyozoea kurukia miti.
Kwanza kuanza na masahihisho ndedere hiyo umetujuza kikwenu Huyu anaitwa ngedere.
Kwa ufafanuzi sahihi wote uliowataja ni kima (Ape) wenye group mbili kubwa, kima wakubwa na kima wadogo akiwemo mwanadamu ingawaje yeye ametengwa kidogo na kuitwa Super Ape. Ukiweza na kama una uwezo Wa kuhudhuria hili darasa tutakufungulia darasa hili lakini nakushauri uelewe haya kwa ufupi na ufanye mambo yako mengine ya maendeleo.